Usitumie MUDA mwingi kukimbiza vitu vya kupita (vitu vya dunia), halafu ukasahau kile kisichopotea (mahusiano yako na MUNGU na watu).
MAISHA yatakuletea changamoto, pesa itapotea, marafiki wengine watatoweka, lakini tabia njema, imani na upendo ndivyo vitakavyobaki na kukutambulisha.
Kila siku jiulize "Nikiondoka duniani leo, nini kitasalia kuhusu mimi?"
Ndiyo maana tunaona baadhi ya watu waliofanikiwa mapema wakipata matatizo au kufariki mapema, lakini si kwa sababu ya mafanikio yenyewe bali ni namna wanavyoishi baada ya kuyapata. Kwa hiyo, mafanikio ya mapema si tatizo; tatizo linaweza kuwa mtindo wa maisha unaokuja nayo🤞
MATATIZO 3 AMBAYO YANAYOWAKUMBA VIJANA WENGI WALIOWAHI KUFANIKIWA KATIKA UMRI MDOGO💔👇
1. Kufa( either kufa kwa carrier au uhai kabisa )😶
2. Kufungwa( kutokana na uvunjifu wa sheria pasipo kujua inayosababishwa na high level ya kujiamini kutokana na kipato )😶
3. Kufilisika na kupotea kabisa katika uso wa Dunia😶
SABABU ZINAZOPELEKEA VIJANA WALIOFANIKIWA KATIKA UMRI UO KUKUMBANA NA AYO MATATIZO..
1. Kiburi( kinachojengwa na pesa )💔
2. Upungufu wa Hekima( Usipokuwa na Hekima unaweza kuisi kila sehemu unaweza kuingia au kufokea au kuongea )💔
3. Kutokujenga mfumo utakao kulinda💔
MWISHO: NILIWAHI AMBIWA KIJANA HII DAR NI NDOGO SANA KAMA KUNA AINA YA WATU WAKIAMUA KUKUTAFUTA🙌
Cc @chandolaptop 🙏
@SadickTusia Ukweli ni kwamba mafanikio ya haraka huleta mabadiliko makubwa kwenye maisha, presha, majukumu, uhuru wa pesa na maamuzi, na kama mtu hatakuwa na nidhamu na kujitunza, mambo hayo yanaweza kuharibu afya yake au kumuingiza kwenye hatari.
MATATIZO 3 AMBAYO YANAYOWAKUMBA VIJANA WENGI WALIOWAHI KUFANIKIWA KATIKA UMRI MDOGO💔👇
1. Kufa( either kufa kwa carrier au uhai kabisa )😶
2. Kufungwa( kutokana na uvunjifu wa sheria pasipo kujua inayosababishwa na high level ya kujiamini kutokana na kipato )😶
3. Kufilisika na kupotea kabisa katika uso wa Dunia😶
SABABU ZINAZOPELEKEA VIJANA WALIOFANIKIWA KATIKA UMRI UO KUKUMBANA NA AYO MATATIZO..
1. Kiburi( kinachojengwa na pesa )💔
2. Upungufu wa Hekima( Usipokuwa na Hekima unaweza kuisi kila sehemu unaweza kuingia au kufokea au kuongea )💔
3. Kutokujenga mfumo utakao kulinda💔
MWISHO: NILIWAHI AMBIWA KIJANA HII DAR NI NDOGO SANA KAMA KUNA AINA YA WATU WAKIAMUA KUKUTAFUTA🙌
Cc @chandolaptop 🙏
Jinsi ya kujiheshimu mwenyewe :
1. Acha kutafuta asiyekutafuta
2. Usivumilie dharau kutoka kwa mtu yoyote
3. Fanya kazi kwa bidii kuwa busy na malengo yako
4. Heshimu muda wako
5. Usikae kwenye mahusiano ambayo haujisikii kuthaminiwa
6. Tunza afya yako
7. Ukiahidi timiza