@JamesJ2020@jaribu_tena@Labella_Mafia95 Wewe umewahi kumuoa mke wa mc pilipili? So y ukosoe experience yake kwa mkewe? Hayo ni maoni yake so unapokosoa mmh unaonekana unalazimisha hoja yako ieleweke
@HenryLugz Mzee wangu alinambia katka maisha tumia sana akili na si nguvu/Wadhifa, Kuna Maafisa wa TRA walikufa kwa ajari Senjele(Mbozi) wakifukuzia Noah iliyokuwa imebeba vikali vya Z, toka Tunduma na wangeikamata serikal iaingeambulia chochote, solve matatizo sio matatizo yakusolve