@chapanombombwi Hii code ukiwa unafikiria kwa kutumia TUMBO huwezi kuielewa,ni majuto ambayo watu kama lukuvi,jenista ,ndugai wangepata nafasi wangejutia pia
‼️MCHAWI AKIMALIZA KULA WOTOTO WA JIRANI, ANAANZA KULA WATOTO WAKE.‼️
Huyu kwenye picha ni Mohammed Simai, Mbunge haram wa Viti maalum ambae Nduli Idd Amin Mama kampa tenda ya kumshambulia Emanuel Nchimbi.
Huyu aliwahi kuwa Waziri huko Zanzibar lakini mwaka 2024 akalazimishwa kujiuzulu baada ya kubainika anafanya biashara ya kuuza mabinti pamoja na vilevi zikiwemo bia huko Pemba.
Mwaka 2025, aligombea Uwakilishi kwenye Bunge la Zanzibar lakini wajumbe wakamla kichwa.
Nduli Idd Amin Mama alivojiweka madarakani kwa mtutu wa bunduki baada ya kuuwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi ndo akamteua huyu Simai kuwa Mbunge haram kwenye bunge la Muungano kwenye zile nafasi zake kumi.
Kwahiyo huyu ni mbunge haram wa viti maalum wa Nduli na kapelekwa kwenye Bunge haram kwa ajili ya kushughulika na Nchimbi na watu wote ambao Nduli anaamini hawaungj mkono maujinga yake.
Kwasasa mpango wao ni kuhakikisha wanamfrustrate Nchimbi mpaka ajiuzulu, asipojiuzulu watamtanguliza kama walivomtanguliza Ndugai, Jenista Mhagama na Luvuki so anatakiwa akaze 🥾 Sawa Sawa, asikubali kujiuzulu labda wamfukuze wao.
Mliokaribu na Nchimbi mwambieni akae rada maana Nduli na washirika wake wamejipa kazi ya Israel mtoa roho, wapo tayari kuuwa yeyote ambae kwao wanadhan ni tishio ili waendelee kubaki madarakani.
NB. Huyu Simai ndo Mbunge haram ambae alipendekeza Bunge lianzishe Bendi yake kama ile ya FM Acamedia,
Badae akapendekeza Bunge lianzishe ukumbi wa Disco ambao wabunge watakuwa wanaingia wao tu kusakata rhumba ili wasichangamane na watu ambao yeye anawaita Wananchi wa kawaida.
Kuna wakati mtakuwa mnawaunganisha watu wengine kwenye laana za matendo yenu ya dhuruma bila sababu za msingi.
Hivi ni nani aliyekuambia vijana wetu walikuwa wanatekeleza ilani ya chama chenu? wamepambana tangu mwanzo wa mashindano wakiwa na mshikamano wa kitaifa kwa mafanikio makubwa, ona sasa kitendo cha kuwahusianisha tu na hicho chama chenu wameshindwa kufanya vizuri.
Niwakumbushe tu kuwa hata Biblia inasema wazi katika kitabu cha Kutoka 20:5 kwamba Mungu huwapatiliza wana maovu ya baba zao, "hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao.Hii inamaanisha matendo yenu ya dhambi,mauaji,ukatili, dhulma na mengine mengi ya hovyo mmewasababishia vijana wetu matokeo mabaya mlivyoanza kutoa matamko ya kuwahusianisha na chama chenu.
Hebu acheni siasa zenu za laana kuwahusisha wanamichezo wetu kwa kauli zenu za hovyo!, Waacheni wawe free!
Tuendelee kukuchangia chama cha Demokrasia na Maendeleo
Namba :0744 446767
Jina. :Chadema HQ
Safari hii ya Ndugu Samia kwenda Russia inapaswa kutazamwa kwa umakini mkubwa kwa maslahi na ustawi wa Taifa letu.
Tujikumbushe historia ya namna Vladimir Putin aliingia madarakani na mfumo wa uongozi uliojengeka nchini Russia. Je, Russia ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya demokrasia ya kweli, au ni taifa ambalo limekuwa likitawaliwa kwa mkono wa chuma na mamlaka makubwa ya dola?
Si kwa bahati mbaya kwamba marais waliotangulia hawakuweka kipaumbele kikubwa katika kujenga ushirika wa karibu na Russia. Walitambua tofauti za msingi zilizopo kati ya mfumo wa kidemokrasia na mifumo inayopunguza uhuru wa kisiasa.
Ukweli ni kwamba Ndugu Samia anaonekana kutafuta ushirikiano na mataifa ambayo hayatoi uzito mkubwa kwa masuala ya demokrasia, uwajibikaji na haki za binadamu. Wakati Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakisisitiza uwajibikaji wa matukio ya Oktoba 29, yeye anaonekana kuelekeza nguvu zake katika kuimarisha mahusiano na China, U.A.E., na sasa Russia.
Wananchi tunapaswa kuwa rada, kufuatilia kwa karibu mwenendo huu na kukataa kupelekeshwa kidictator na kupelekwa kwenye mfumo wa uongozi ambao tuliukataa. Tunapaswa kusimama kidete katika kutetea demokrasia, haki na utawala wa sheria.
Tuendelee kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia namba 0744 446969, jina: Chadema HQ.
#TunawatuTutashinda
#OperesheniKatibaMpya
#FreeTunduALissu
Haya msajili huyu alikuwa Serikali na mwana ccm na aligombea ccm akatukana "MATAKO YAKO".
VIPI HAPO UMEIFUTA CCM? ULIWAHAI HATA KUIANDIKIA BARUA CCM? HOVYO SANA WE JAMAA.
Hili nalo ni kosa ambalo natuhumiwa kulifanya kwa mujibu wa Msajili. Sasa narudia tena kusisitiza, ofisi za Serikali si duka la wazazi wenu wala mali ya familia zenu. Mkipewa mamlaka ya umma, mnapaswa kuvumilia kukosolewa, kuulizwa maswali na kuwajibika kwa maamuzi yenu. Kama hamtaki kusemwa, kuhojiwa au kuwajibika, acheni hizo ofisi mrudi mkakae na wake zenu, waume zenu na familia zenu. Mamlaka si kinga dhidi ya uwajibikaji. Na hili linamhusu kila mmoja wenu, hususani pia na wewe Msajili
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA MHE. LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
@ShundoGaston,
Mkurungenzi wa Sheria wa CHADEMA HQ
Hili nalo ni kosa ambalo natuhumiwa kulifanya kwa mujibu wa Msajili. Sasa narudia tena kusisitiza, ofisi za Serikali si duka la wazazi wenu wala mali ya familia zenu. Mkipewa mamlaka ya umma, mnapaswa kuvumilia kukosolewa, kuulizwa maswali na kuwajibika kwa maamuzi yenu. Kama hamtaki kusemwa, kuhojiwa au kuwajibika, acheni hizo ofisi mrudi mkakae na wake zenu, waume zenu na familia zenu. Mamlaka si kinga dhidi ya uwajibikaji. Na hili linamhusu kila mmoja wenu, hususani pia na wewe Msajili
Waandishi mataputapu kama Balile, Kamwaga & co hawakufungua bakuli zao ku report mauwaji ya Oktoba 29.
Miezi 7 baadaye wamempiga pesa Samia eti waandae documentary kuonesha mauwaji yalisababishwa na wanaharakati na mataifa ya nje.
Huu kama sio uwendawazimu ni nini?
@lifeofmshaba Huyo angepuuzwa,msimpe muda,anataka muda na attention ili awapandie dau wale wanamtuma na kumlipa ...apuuzwe,kuna mambo mengi ya msingi ya kudeal nayo kwasasa