#LocalContentEconomy@TZ
In our local content agenda:
#We miss a deliberate spirit to develop local suppliersโ/Contractorsโโto capacitate & integrate them into the supply chain & value addition of foreign firms. New billionaires embedded here.
#Reforms#Rebuilding
TUTAVUKA
@godbless_lema AYO TV: unasema Boda boda sio ajira?
LEMA: yes ni umasikini
AYO TV: CCM kugawa majiko ya Gesi kwa wanaNchi?
LEMA: huo ni ushamba, unawezaje kupunguza umasikini kwa kugawa majiko?
AYO TV: watu wa Arusha wanasema wewe ni mbinafsi na pesa kusaidii watu.
LEMA: wanajua nimeipataje ?
#WorkSmart โ
TBT 2003 with @therealfidq huu mwaka Nilishinda Mashindano Mawili ya Kuchana na Kuandika (NICE and LOVELY - ya KENYA) and (KILI MUSIC AWARD - ZONE) hii ndio Siku Marehemu RUGE MTAHABA ananijua. na mtu ambae nilikuwa namsumbua zaidi ni MULLY B ๐๐๐
next week part 2