Asubuhi na mapema hata kabla ya adhana ya al-Fajr tayari IQ yangu imeshaingiza mil 5... Hapa kilichobaki ni kushinda X nawabagaza walalahoi
Ni uamuzi wako kuchukulia hii km insult au motivation 😅
Hakuna baraka kubwa ya kifedha kama kuwa na wazazi wanaojiweza...
Vijana wengi sana wanachelewa kupindua meza kwasababu ya kusaidia wazazi wako
Kihisia, kimaendeleo na kifedha vijana wanaumia sana, ila hakuna jinsi😩