“Nobody is coming to save you. Get up. Be your own hero. Don’t blame the distractions. Improve your focus. Don’t overshare, Privacy is power. Tough times never last, But tough people do. Move in silence. Only speak when it’s time to say!! “ from alivequotes.
Life is like a camera, focus on what is important, capture the important times, develop from the negatives, and if things don’t work out, take another shot.
Truth never loses the battle. No matter how long a lie is sustained. The truth will someday prevail. No matter how fast a lie runs, the truth will someday overtake it.
Shekhe Thabiti Kombo, aliwahi kusema, “Kama jambo muda wake bado, hata kama ukilitaka sana haliji ng’oo, na kama muda wake umefika hata kama usipolitaka litafika.” Kila jambo lina wakati wake!!
Moja kati ya makosa ambayo baadhi ya watu huyafanya ni pamoja na kufikiri na kudhani kuwa, maadui wao wanapaswa kuwa maadui wetu. Mtazamo wetu juu ya maadui wao, hutegemeana sana na matendo yao na mahusiano yao kwetu. Usirithi adui wa mwingine!
Zoezi la sensa limefika kwenye kaya yangu. Kwa wale ambao bado hamja fikiwa, endeleeni kuwa wavumilivu. Soon mtafikiwa. @ Mikocheni https://t.co/yrmKSsLYv5
Hii siyo Anfield, wala siyo Old Trafford, pia siyo Estadio de Stefano. Hii ni Estadio de Benjamin Mkapa a.k.a LUPASO!! @ Benjamin William Mkapa Stadium https://t.co/ESiKqrGHQf
Get well soon my brother! Najua utanyanyuka tutete tena wakunyumba!
Tushurikiane kumwonyesha upendo kwa kuchangia matibabu ya ndugu yetu.
Swipe left kuona namna ya kuchangia. @ Mikocheni https://t.co/Y2GZPHIvVu
Kama tungejilipiza, Kama tunge wachafua walio tuchafua, kama tungewaharibia walio tuharibia, kama tungewaumiza walio tuumiza, tusingefika tulipo Leo, kuna NGUVU katika kukubali aibu, kukaa kimya na kusamehe.