@mokertz__ Kutoa ni moyo siyo utajiri... Kosa ni kuwarekodi. Hata kuwarekodi Pengine siyo tatizo Sana, tatizo ni kusambaza video aliyorekodi. Kusaidia ni kama sadaka fulani hivi, ukifanya yafaa hata jirani asijue. Kusambaza video ndio naona ni tatizo. Labda kama Kuna sababu nyingine