@kaji_sijo Tatizo tukiwa Tanzania tunajua south ni wazulu tu 🤣🤣🤣 Kuna wakhosa pia tamaduni zao ni hizo nafikiri ndo wanaongoza kuliko hao wazuru, hata Mandela watu wanazani alikuwa mzulu 🤣🤣🤣
@Cathyzuru@fumbokhanJr Tena hawajui jinsi tunapambana huku yaani sometimes unawaza urudi nyumbani ila ndo huko nyumbani wanakuona ushakuwa tajiri yooh, they must know is only we changed the country but the life is the same
@eastafricatv Duuuh mashavu yamemshuka yaani ukihesabu miaka ya simba na yanga tu zaidi ya kumi ukichukua hiyo 16 unachnganya na aliyoanza kucheza hizo timu zingine uwiii
@ayubu_madenge Watu tumekuwa wapumbavu sana yaani, mtu akiwa na kismat phone chake, na kibando chake cha kukopa anaona anaweza kukosoa hata njia za mwenyezi mungu, tunatakiwa kuwa taifa linalojivunia kitu hiki sababu kila siku watu wanajazana kwenye mambo ya anasa but hapo wako kwenye jambo zur