Halafu wewe umekaa hapo na majungu, ukidai haki ambayo hujapigania.
Unalalamika huna connections, huna pesa, huna bahati—ukweli ni kwamba hiyo ni reality ya wengi, but only few use that as fuel.
And remember: Failing is not the end.
Jesca’s story isn’t about failure—it’s about resilience.
Alianguka, akajifunza, akatumia kile kidogo alichonacho vizuri. Hakusubiri sympathy—alitumia akili na attitude kuinuka.
Mimi nimemaliza, kama umependa thread yangu — please follow hizi accounts nitakupa follow back.
👉 @shiradhabibu
👉 @SB_Ladder
Thank you in advance!
End.
📱 Kama wewe ni mmiliki wa biashara ndogo, kuna apps ambazo ni lazima uwe nazo kwenye simu yako.
Apps hizi zinaweza kukuokolea muda, kuongeza ufanisi pamoja na kukurahisishia maisha ya kila siku ya biashara yako.
Hizi tano hutakiwi kuzikosa!
Thread: 👇
Miaka 18, msichana anaonekana kuwa na thamani kubwa katika macho ya jamii — uzuri, ujana, mvuto.
Lakini kijana wa kiume mwenye miaka 18? Mara nyingi bado hajajulikana, hajajitengeneza, hajajipambanua. Thamani yake bado ni ndogo sana.
Thread: 👇
Una miaka 18-30, nakusihi tenga japo dakika 10 kusoma huu uzi. Ukifika mwisho utanishukuru.
SAFARI YA MAISHA: Kupata, kusota, changamoto, kupambana, kukosa, kutusua. LIFE
Anguka nayo👇🧵
Ushawahi kuwa na mwanao ambaye mnashibana sana alafu anakukaribisha kwao, ile unafika kwao unamkuta mtoto mmoja mzuri vibaya sana.
Anawakaribisha chakula alafu kitamu mpaka ile laana! Wewe kama mwamba unakaza roho tuu alafu unapiga msosi na unapiga story na mwanao.
Thread:⤵️
Ukipata Muda Tazama Picha (10) Zilizobadilisha Dunia Milele.
(Hizi si picha tu—ni ushahidi wa nyakati ambazo zilibadili historia ya dunia milele.)
Kila picha hapa ilibeba nguvu ya maelfu ya maneno. Zilizungumzwa, zilipingwa, zilihamasisha, na zilibadilisha maisha ya wengi.
Tahadhari: Baadhi ya picha zinaweza kugusa hisia zako.
Thread 🧵