Will Smith makes his comeback to rapping with a performance tonight at the BET Awards, doing his new song called "You Can Make It" with Kirk Franklin and Fridayy
#BETAwards
🚨 Updated Probability of winning the World Cup
🇲🇦 Morocco ~ 1%
🇪🇸 Spain ~ 7.5%
🇺🇸 USA ~ 2%
🇵🇹 Portugal ~ 6.2%
🇳🇱 Netherlands ~ 4%
🇬🇧 England ~ 14%
🇦🇷 Argentina ~ 13%
🇫🇷 France ~ 16%
🇧🇷 Brazil ~ 18%
🇲🇽 Mexico ~ 2….see below
"Nina miaka 37.
Ukweli mchungu ni kwamba nilipoteza miaka yangu ya 20 kwenye kamari, wanawake na katika eneo la starehe nikifuatilia starehe zisizo na mwelekeo.
Huu ni ushauri bora sana ninaoweza kumpa mtu aliye na miaka ya 20 na 30…
Umri wa miaka 20-30 ni mwanzo wa safari kubwa ya maisha yako.
Ukiweka msingi mzuri sasa, maisha yako yatakuwa na mwelekeo mzuri zaidi kwa siku za usoni.
Tafadhali chukua hatua sasa hivi na usiogope kujaribu mambo mapya pia usiogope kushindwa maana huu ni wakati wa kujifunza mambo mpya.
Anzia hapa...↓
Tafakari malengo yako.
Jiulize unataka kuwa nani miaka 5 au 10 ijayo.
Fikiria vitu unavyovipenda na unavyovifanya kwa urahisi; vinaweza kuwa msingi wa kazi yako ya baadaye.
Ikiwa huna uhakika bado, usijali; hatua kwa hatua utapata mwelekeo. Don't Give up.
Hakikisha unawekeza vizuri sana kwenye Elimu na ujuzi unaolipa vizuri.
Soma kwa bidii na uwe tayari kujifunza ujuzi mpya unaolingana na soko la ajira.
Kwa mfano: Teknolojia (coding, forex, data science, n.k) na mitandao (Telecom) zina mahitaji makubwa sana kwa sasa kwenye jamii.
Angalia pia ujuzi wa ziada kama usimamizi wa fedha, mawasiliano na lugha za kigeni ambazo zinaweza kukupa faida zaidi.
Acha kudharau nguvu ya lugha hata iwe kichina, kwa miaka 5 ijayo wachina watakua wamedominate soko ukiweza kuzungumza nao utakua umetoboa.
Make sure ni unajifunza kujitegemea.
Anza kujiwekea akiba hata kidogo.
Fikiria kufanya kazi ndogo au kujihusisha na miradi ya kujitolea ambayo itakufundisha maadili ya kazi.
Jifunze stadi za maisha kama kupika, kupanga bajeti, na kufanya maamuzi ya busara.
Usiitumie mitandao ya kijamii kama sehemu ya kujiburudisha na kuondoa stress, unda mitandao ya kijamii na kitaaluma zaidi.
Fanya urafiki na watu wenye maono na malengo kama yako.
Tumia majukwaa kama Instagram, LinkedIn au Twitter kujifunza kutoka kwa wataalamu na kupata fursa mpya.
Hakikisha unajenga Super Personnal Brand yako na wewe ili usiishie tu kuwa shabiki wa Mondi kila akipost unacomment emoji ya moto.
Usisahau maisha ya kibinafsi.
Linda afya yako kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kulala vya kutosha.
Pata muda wa kupumzika na kufurahia vitu unavyopenda kama michezo, muziki, au kusoma. Be you. Alafu kubwa zaidi be your own boss.
Endelea kuwa na nidhamu na uvumilivu.
Siku zote matatizo yapo, lakini kuwa na nidhamu na mtazamo chanya kutakusaidia kushinda changamoto.
Usikate tamaa hata kama vitu haviendi kama ulivyopanga mara ya kwanza.
Kama kijana wa miaka 20 na 30, una nafasi kubwa ya kuunda maisha yako jinsi unavyotaka.
Anza kidogo kidogo, lakini kuwa na malengo makubwa.
Weka juhudi na kuwa tayari kujifunza kutoka kwa makosa yako.
Usijipe presha ya kujilinganisha na watu wengine, kila mtu anawakati wake wa kufanikiwa.
Jifunze kutatua matatizo.
Kuwa na uwezo wa kufikiri kwa njia ya ubunifu na kimkakati ni muhimu.
Jifunze namna ya kutatua changamoto ndogo kila siku kwa kutumia rasilimali ulizonazo.
Tafuta njia za kuboresha maisha yako na ya watu wanaokuzunguka, hata kwa mambo madogo.
Hakuna ujuzi unaolipa zaidi kwa sasa kama kutatua matatizo ya watu, jifunze kutatua matatizo ya watu wenye hela nyingi wao wanalipaga vizuri.
Tafuta mshauri au kiongozi wa kukuongoza.
Pata mtu mwenye uzoefu zaidi (mentor) ambaye unaweza kumtegemea kwa ushauri.
Mshauri anaweza kuwa mwalimu, ndugu, au rafiki mkubwa anayejua unachotaka kufanikisha.
Ukiwa unapitia changamoto ongea na watu wakusaidie na usijione kuwa unaweza kuhendo matatizo yote ukiwa peke yako.
Jihusishe na miradi ya jamii.
Kushiriki kwenye miradi ya kijamii kutakupa fursa ya kujifunza, kujenga mitandao, na kuongeza uelewa wa changamoto za jamii.
Kujitolea pia husaidia kukuza tabia ya huruma na kuwajibika.
Tumia mitandao kwa manufaa.
Badala ya kutumia muda mwingi kwenye burudani zisizo na tija, tumia teknolojia kujifunza ujuzi mpya kama programu, uchambuzi wa data, au uendeshaji wa biashara mtandaoni.
Tumia mitandao ya kijamii kujifunza kutoka kwa wataalamu wa sekta mbalimbali.
Tambua Umuhimu wa Kushirikiana.
Hakuna aliyefanikiwa peke yake. Jifunze kufanya kazi na watu wengine kwa ufanisi.
Jenga uhusiano wa kuheshimiana na kushirikiana na wale wanaoweza kusaidiana kufanikisha malengo yako.
Kuwa Tayari Kubadilika.
Dunia inabadilika haraka; teknolojia, mahitaji ya soko, na mitindo ya maisha hubadilika kila wakati.
Jifunze kuwa mwepesi wa kubadilika bila kupoteza maadili yako.
Tafuta ujuzi wa kiuchumi.
Jifunze jinsi ya kuwekeza, kuanzisha biashara ndogo, au kusimamia fedha zako vizuri.
Ujuzi huu utakuweka kwenye nafasi nzuri ya kuwa huru kifedha mapema maishani.
Thamini watu wa karibu yako.
Wazazi, ndugu, marafiki wa kweli, na wazee (waliojipata) wana mchango mkubwa kwenye maendeleo yako.
Weka muda wa kushukuru na kujifunza kutoka kwao.
Usijilinganishe na wengine kupita kiasi.
Kila mtu ana safari yake.
Chukua muda wako na ujitahidi kila siku kuboresha toleo bora zaidi lako mwenyewe."
Hayo ni maneno ya hekima niliambiwa siku ya kwanza nafika chuo na yanaishi kichwani mwangu kila siku.
Kuna hii series nimeangalia Netflix inaitwa " Sense8" , oyaa 🙌🏽 humu watu wanawekana kila baada ya dakika Tano, binafsi imenishinda , sitaki matatizo 😂😂
Hizi zote ni Movies + Tv Shows
Zitakazo kufanya Ukune Kichwa
😄
1. Interstellar
2. Arrival
3. Predestination
4. Coherence
5. Mr. Nobody
6. Everything Everywhere All at Once
7. Cloud Atlas
8. Donnie Darko
9. Source Code
10. The Butterfly Effect
11. Primer
12. Doctor Strange
13. Doctor Strange in the Multiverse of Madness
14. Inception
15. The Matrix (trilogy)
16. Annihilation
17. The Fountain
18. The Green Knight
19. Immortals
20. Gods of Egypt
21. Wonder Woman
22. Black Panther
23. Enter the Void
24. Waking Life
25. A Scanner Darkly
26. Lucy
27. Limitless
28. Samsara
29. ....
30. Dark
31. The OA
32. Devs
33. Legion
34. Fringe
35. Counterpart
36. 12 Monkeys (series)
37. Russian Doll
38. Sense8
39. The Man in the High Castle
40. The Leftovers
41. Westworld
42. Black Mirror
43. Upload
44. The Good Place
45. Altered Carbon
46. Maniac
47. Dead Like Me
48. American Gods
49. Sandman
50. Lucifer
51. Moon Knight
52. Midnight Gospel
53. Undone
54. Neon Genesis Evangelion
55. 3 Body Problem
Mwanangu jobless, siku ukipata hela hata kiduchu jitoe out wewe kama wewe, nenda hotel flani yenye hadhi agiza kitu (usiogope cost). Fanya ivyo kwa mwezi mara 1 kwa miezi 4 mfululizo. Kuna vitu 3 utaona vinanza kubadilika kwenye maisha yako.