@dullah_dullayo@politeduck @Chichi__smiley Habari Dullah, Asante kwa kuonesha nia ya dhati ya kuwa mteja wetu, tafadhali tunaweza kuwasiliana zaidi kwenye DM ili kupata taarifa, maelezo zaidi au unaweza kutupigia kwa namba 0662100100.
Smile inakuletea vifurushi vya Sosho vya Back to School na ufurahie Instagram, Facebook, WhatsApp, TikTok, Snapchat, Twitter.Hii ni kwaajili ya Wanachuo. V & M kuzingatiwa. Ofa hii ni ya muda mfupi. #Smile4GLTE#KasiKwako
Ushajiuliza ni sehemu gani kunapatikana intaneti yenye kasi ambayo itakusaidia wewe mwanafunzi kuperuzi sehemu yoyote ile iwe vimbwetani,cafeteria na bwenini basi jibu ni mtandao wa Smile. Jipatie USB WiFi Dongle kwa Elfu 35/= na Zawadi ya GB 15 Bure.
#Smile4GLTE#KasiKwako
Katika vitu mwanafunzi wa Chuo Kikuu hatakiwi kukosa kimojawapo ni intaneti yenye kasi zaidi, kwa kuonelea hilo mtandao wako pendwa wa Smile unakuletea MiFi kwa shilingi elfu 55 ambapo baada ya kununua utapata na GB 20 bure.
#Smile4GLTE#KasiKwako
@StephenGuevara9 Habari Stephen, Asante kwa kuonyesha nia ya kuwa mteja watu, tafadhali tembelea maduka yetu au wasiliana nasi kupitia namba 0662100100 kwa huduma zaidi.
Router OFA!
Kutoka 250,000Tsh mpaka 225,000Tsh TU na GB 160 BURE.
Tembelea Duka lolote la Smile lilio karibu nawe, Tupigie 0662100100 kwa msaada. Jiunge Sasa!. V&M kuzingatiwa
*OFA hii ni ya muda mfupi*
#SmileComstz#Internet#Smile4GLTE#Tanzania#Superfast4GLTE
@hancymachemba@kalage_jr@nillah_muhidin Karibu sana Hancy, ndio tuna line ambazo utaweza kutumia kwenye router yako, lakini pia kuhusu bando litatumika na kuisha kulingana na matumizi yako.
@hancymachemba@kalage_jr@nillah_muhidin Habari Hancy, Asante na karibu Smile Tanzania, tunapenda kukufahamisha kuwa bando zetu ninafuu kabisa, tutafurahi ukiwa sehemu ya wateja wetu.
@Mrs_Mrusi @claramogul @funjojr @MiriamMkanaka @PaschalSam1 @kipepe123 @kellenMbwambo @INFLUENCERjr@Happie_Thom@Balyx_ @BarakaSaimon3 @suma_clever Habari, Asante kwa kuwa mteja wetu, kama ulijisajili na NIDA, account yako bado iko active - unaweza recharge kupitia https://t.co/uw8m6DUItj. Pia unaweza kututumia namba ya account kwenye DM kwa huduma ya ziada. Au tupigie 0662100100 kuwasiliana na kitengo cha huduma kwa wateja.
Jiunge na vifurushi vya Sosho vya Back to School na ufurahie Instagram, Facebook, WhatsApp, TikTok, Snapchat, Twitter
BURE!. hii ni kwaajili ya Wanachuo. V & M kuzingatiwa. Ofa hii ni ya muda mfupi. #Smile4GLTE#KasiKwako
Jiunge na vifurushi vya Combo vya Back to School na ufurahie Instagram, Facebook, WhatsApp, TikTok, Snapchat, Twitter
BURE!. hii ni kwaajili ya Wanachuo. V & M kuzingatiwa. Ofa hii ni ya muda mfupi. #Smile4GLTE#KasiKwako