WASIRA ATETA NA JAJI WARIOBA, MZEE BUTIKU
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wastaafu wa serikali.
Viongozi hao ambao amekutana nao leo June 4, 2025 jijini Dar es Salaam ni Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Waryoba pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku ambaye pia amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikali.
Napenda kutoa pole kwa familia na watanzania wote kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu wa Rais wa kwanza Mstaafu, Mzee Cleopa David Msuya, kilichotokea katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi wafanye uchunguzi wa kina, kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Ziara ya Mbeya imedhihirisha utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa hali ya juu. Tutaendelea kuwa nanyi bega kwa bega, kusikiliza na kufanyia kazi changamoto zenu. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele #kazinaUtuTunasongaMbele#kaziNaUtu#TunasongaMbele
Asante Songwe! Wiki hii, Waziri wa Fedha @mwigulunchemba1 na Waziri wa Maji @maji_mowi chini ya Uongozi wa Dkt @SuluhuSamia watakuja Tunduma kusaini mkataba na mkandarasi kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji. Hatua muhimu katika kuboresha huduma za maji! #KazinaUtu#TunasongaMbele
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Steven Wasira, Awasili Mbozi kwa Ziara ya Siku Tatu Mkoani Songwe.
Mbozi, Machi 14, 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Steven Wasira, amepokelewa kwa shangwe na wanachama wa chama hicho alipowasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Mbozi leo.
Wasira anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu katika mkoa wa Songwe, ambapo atakutana na viongozi wa chama na serikali, pamoja na wananchi, kujadili maendeleo ya mkoa huo. Ziara yake inalenga kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi na kuimarisha utekelezaji wa Ilani ya CCM.
#KazinaUtu
#TunasongaMbele
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu.
CCM 2025 ✅,
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025.
@IAMartin_ Nimekuwa nikifuatilia posts zako kwa muda murefu. Kwako hakuna jema hata moja katika nchi hii. Kusambaratika kwa Taifa kwako ndiyo faida. Kwako suluhisho la pamoja ni hasara. Kwa sababu hiyo, msimamo wangu na wako utaendelea kuwa tofauti kwa muda mrefu au pengine milele.
#Jasusi anatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rostam Aziz kwa kukemea utekaji na kutoa rai kwamba Watanzania wakatae nchi kurudishwa zama za giza. Kwanini anastahili pongezi? Kwa sababu angeweza tu kujikalia kimya but he chose not to 👏👏👏
@xaxaxaxaxaxaxz Wewe siyo tu ni mjinga labda pia ni mpumbavu usiyefundishika. Waambie watanzania kashfa zangu za ubinafi katika utumishi wangu kwa umma. Zikikukosa ufunge demo lako milele. Nitaendelea kuwashauri watanzania wajihadhali na wasaliti wa nchi yetu na makuwadi wa mashoga.
@xaxaxaxaxaxaxz Usisambaze ujinga wako kupitia mtandao ya kijamii. Najua hasira yenu inatokana na nguvu ya hoja zangu katika kujibu uongo wenu. Nimekataa ushauri wako.
Mjadala kuhusu bandari unaendelea vizuri kwa Maoni yangu. Wengi tunakubaliana kuwa suala la kuwekeza teknolojia na management ili kuongeza ufanisi na mapato haliepukiki. Tafasiri ya masharti yaliyoko katika mkataba ndiyo hoja zinanzotugawa. Wanasheria toeni ushauri msitugawe.
Nimepokea kwa msituko na masikitiko makubwa kutokana na kifo cha ghafla cha Bernard Membe. Tumekuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya nne kwa miaka kumi. Tulipata ushirikiano Kutoka kwake akiwa Waziri wa mambo ya nje. Alikuwa mcheshi , mzalendo na mchapakazi. R I P Membe.