@nikkwapili Kuna raslimali kias gani katika hii nchi??? Misitu maziwa hifadhi madini hizo zote zimefanya nn ni vile upo madarakani ndio maana unaongea hivo ila ukweli unaujua
Lazima usifie hii serikali ili uendelee kulinda maslahi yako binafsi
Hata wale wabunge walimsifia sana marehemu ila