baada ya siku 839 nyuma ya milango ya chuma.
Wakati huohuo, mlalamikaji anabaki hajulikani kwa umma—na hajafunguliwa mashitaka kwa madai ambayo hayakuthibitishwa.
Baada ya kutumikia kifungo gerezani, Dani Alves amepatikana hana hatia ya ubakaji.
Maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea hasa kwa yule mwanamke aliyebomoa maisha yake. Yeye yuko huru.
Dani alipoteza kila kitu yaani kila kitu kabisa, ikiwemo familia yake.
hana hatia, Alves alikata rufaa.
Mnamo Machi 28, 2025, Mahakama Kuu ya Catalonia ilimtoa hatiani kwa kauli moja, ikieleza “dosari na upungufu” katika ushahidi, kutokuwepo kwa uthabiti katika simulizi la mlalamikaji, na ukosefu wa ushahidi wa kuthibitisha. Alitembea huru
Heri ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar!
Leo tunasherehekea historia na urithi wa visiwa vyetu vya bahari ya amani, Sama Luxury Coach inapenda kuwatakia mapumziko mema kwenye siku hii muhimu kwetu sote watanzania.
#Sama_luxury_Coach#Zanzibar
Ni kwa nauli ya 100,000/= utasafiri na VIP Bus toka Sama Luxury Coach kwa safari ya DAR-MWZ-DAR kila siku.
Utapata huduma zifuatazo:
>Soda
>Maji
>Cake
>Maziwa au Chai
>Korosho
>Free Wi-Fi
>System Charge
>Comfortable Seat
Kata sasa tiketi yako kwa kutembelea website yetu
Real Madrid inalaani vikali aina yoyote ya tabia inayohusisha ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya wageni au vurugu katika soka na michezo, na inasikitika sana kwa matusi ambayo mashabiki wachache walitoa usiku wa....
Endelea hapa
https://t.co/ogs2Xz6qdV
Manchester United imeendelea kuwa na wakati mgumu katika Ligi ya Europa baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Fenerbahce. Mchezo huo uliofanyika katika dimba la Ulker mjini Istanbul, ulianza kwa kasi huku timu zote zikionyesha....
Endelea hapa https://t.co/8y4mEoIM0M
Yanga imeendelea kutetea taji la Ligi Kuu baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 2-0 katika Uwanja wa Azam Complex. Ushindi huu ni wa sita mfululizo msimu huu bila kuruhusu bao. Yanga sasa imecheza mechi 51 mfululizo za Ligi Kuu...
Endelea kusoma hapa https://t.co/qxf2BKhu2H
Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class. Nilivyotua Airport, alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani. Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile...
Endelea kusoma hapa https://t.co/UMccndNUP5
Katika mahojiano ya leo kuelekea mechi dhidi ya JKT Tanzania hapo kesho, Kocha wa Yanga alitoa ufafanuzi muhimu kwa mashabiki wake kuhusu falsafa yake ya mchezo. Alisema, “Naomba niweke sawa jambo hili kwa mashabiki, mimi mipango yangu....
Endelea hapa https://t.co/Nmyro19m4K
Katika ulimwengu wa soka la Tanzania, shutuma za kuuza mechi zimekuwa zikiibuka mara kwa mara, na klabu kubwa kama Simba na Yanga hazijakwepa lawama hizi. Ingawa shutuma hizi zimekuwa zikijadiliwa zaidi kuhusu Simba, ukweli ni.......
Endelea kusoma https://t.co/nwOcyplZhi
Katika mchezo wa kusisimua wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Young Africans SC walifanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC. Bao pekee la mchezo huo....
Endelea kusoma hapa https://t.co/lHmBrZGe74
SIMBA Queens imepeleka barua kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufungua kesi dhidi ya mchezaji wao, Aisha Mnunka, ambaye hajarejea kambini. Mnunka aliondoka kambini Agosti mwaka huu bila viongozi kufahamu, wakati timu.....
Endelea hapa kusoma https://t.co/S6M37fKgY9