@EduTalkTz Ni suala la muda na kitambo kifupi tu kijacho. CCM hawana maisha zaidi ya miaka 10 tena wanaanguka na kutokomea kuzimu. There's no way madhalimu wa kiwango hiki wataendelea kushikilia dhamana ya Uongozi wa Nchi yetu. No way!
@HildaNewton21 Kwa maana hiyo kipindi kile chama chao wanapigania uhuru walikuwa magaidi nao mbona nchi ilikuwa inaenda vizuri tu chini ya wakoloni weupe.