@polo_kimanii Kuna ingine nilikuwa nimenasa namna hatari sana ๐ siku moja nikiwa hapo lavington nikapitia tuonane,, cjui aliona sura yangu ajy lakini kutoka hiyo siku hata dp sikuwahi ona tena,,,aki ya Mungu lazima nitafute mrembo ablend sura ya watoto mimi sitaki Kimuzi kwangu
Ukihamia ubabini nikama pia software ya tabia huwa inaji update. Sasa kama mimi tangu nihamie huku kwa apartment ya Lift,taste yangu ya Gospel music imebadilika kapsa. Huwesi nipata naskiliza wimbo ziko na kelele, mara sijui rukia bwana, mara ohh tumkanyange shetani, No! Hapa tunaskiza wasanii kama hii inaitwa Israel Mbonyi. Ni kijana imetoka pande ya Rwanda lakini pande ya mziki abana mcheso. Mziki imetulia. Intentional music! Unaskiza mziki namna hii inaingia mpaka unaskia kweli nimebarikiwa. Pesa haitaki kelele nakwambia. Sasa kitu nimebakisha nataka nibadilishe bibi kanisa,Nitoe yeye PCEA niingise yeye CITAM,aende huko aNetwork na mabibi ya politicians,angโengโane ata waeke yeye secretary, hapo ndio nitakua natoa loan ya kuendea mzigo kule Ghuanzoung, china
@polo_kimanii Hii wasichana first born from humble backgrounds ni nomaa aisee,,,hii yangu kabla niachane nayo aliniambia aty tulipie ndugu yake fees ya highschool na saa hizi nyanya yake ni mimi nanunulia pampers za wazee,, nikaona hapo ntaumia nikamrudisha kwao bana ๐
@polo_kimanii Unauliza how that hole is powerful na ilifanya my grandfather akauza yamaha yake akaenda kunyonywa maboringo Nairobi,,,, mtu kama mimi huwezi niambia nikataze mtu mrija na hata nikiona naked wire Abdalla anajaa ngori sana ๐
@polo_kimanii Hii maneno ya wasichana mkiongea mm niko na issue ๐ kuna hii moja ya nabakholo,,,mtoto mrembo namna ajab,,yaani ni wale bookten alipunguziwa matope ya vidole wakapewa lakini sasa yeye lazima nimnuse the bull's eye wakati ya kitendo,,ile ajue nampenda ๐ฅฑhii nayo mm ntawacha
Ever since I came to this Nairobi many years ago,I have moved and stayed in very many apartments all over. Always looking for a better house,and environement than what I have currently. But one thing I am realizing now is that for every better house I found,it lacked something that the previous house had. Nikama kurogwo! I moved from Mwiki to kasarani because of dust,kasarani hakuna dust,its tarmacked, but in kasarani I had a neighbour who made alot of noise,now I moved to kikuyu kwa lift,hakuna kelele huku,but now my neighbour is a homosexual bwana. Eih! Jehovah!
Or maybe this is the phenomena of life,that for everything life gives you with the right hand,it takes another with the left hand. The same logic can be applied to the women I have had,nilipata mwingine roho mzuri sana,anajua kupika,hanisumbui, aninilipia kinyozi, lakini alikua mnono. Huyo nikaimpeach! Nikapata mwingine mpetite,hana mambo mingi,lakini ako na health issues kama 1 sausand,nikaona apa nitarudi ushagi. Nikamgachagua tena. Nikapata mwingine mrembo,lakini ata email hajui kutuma. Huyo nikatwanga mimba.
This life vijana, is about choosing compromise you can handle. Sasa kama hapa kwa lift,huyu jirani yangu bora asifae booty short tena,manake ata nimeongea na caretaker,avae kinyasa kama wanaume wengine,hatutasumbuana,nitakaa kaa apa. Bwana some of these lessons they will never teach you in unifasti
@polo_kimanii Mm nakumbuka kuna ingine nilikuwa nakaa tulikuwa tunashare kitchen watu tatu ๐๐kuna time nimetoka zangu zangu mjengo nikaspin omena zangu ,, kutoka kukojoa narudi napata sufuria iko empty bana ๐ karibu niue watu juu nilitwanga hiyo kijana aki,,,kitu nasema ni ety arap must go
Kitu sasa isikudanganye ati sababu msichana ametoka financially stable background hutagongewa. Bwana some of these women I have seen are not malayaing for survival,they are doing out of passion. Its in the blood. I have seen three women so far,who are financially stable, two with very well off parent,but still dating mibabaz,for more money. Ni kitu ilinishangasa sana aki. Mmoja nikaulisa yeye ni nini inakusumbua mtoto wetu,akaniambia ati โhe takes care of me?โ . Surely josephine?
Na huyu ni mtoto amesomea IGsE, yani hakusomea polling station kama sisi. Lakini bado anahanya kama msichana ya chepalungโu secondary amekuja nairobi kufanya journalism. Ni mungu akusaidie tu,usipatane na ule ako na spirit ya umalaya. Kwa wale watapatana nao,sababu lasma waolewe pia,poleni sana. This earth is hard! Eiih, khabusie!
@polo_kimanii Mm kuna hii niliteka ya lavington ,,,yaani mtoto alikuwa ametoka zile familia hukuuliza"How much money do you want to leave our daughter alone"
Woooi sasa mm nikajua hapa sitaguziwa tunda juu ya kuwa broke juu mdame ako madoo ๐๐niligongewa na jamaa ilikuwa inauza smokie
@georgediano By the way ukiangalia keenly kuku hukapitia sana ๐ yaani inaangua jogoo inakua alafu anadinya ile kuku tena na hata inapigwa ๐๐
Yaani unaleta mtu hii dunia alafu afterwards anakulima kijiti na vita
#Justice for chicken
Na nyinyi warembo mko huko DM yangu mkisema hey nataka mjue sahii mimi I am a high value man,with valuable assets. Mimi sahii level niko chakula nakula na ile Uhuru anakula hakuna difference. The only difference between me and Uhuru is the number of zeros in our account. Otherwise lifestyle ni moja. Mimi ni mtu naishi nyumba iko na lift,sichoki nikipanda stairs kama wildbeest,nachoka tu nikifinya button ya kupanda 6th floor.
Kama ni mashamba niko nazo,niko na 30 by 60 fertile land in Rumuruti. Nimeachiwa na nyanya yangu Sarah kinyanjui juzi. Pale nikimwaga kitunguu ningoje miezi tatu nishaingisa 5 millions. Sasa kama unajua wewe ni wale wa kuomba fare,mara sijui nails,bwana me and you cannot go anywhere. Wewe ligi yako ni hawa vijana wa juja,wakuvuruta bangi na maji ya tap. Mimi nataka mtu nawesa pigia simu namna hii,namwambia bebi niwekee 1 million nimekwama kwa lift,ananiwekea tu bila maswali. Si ndio maana nilihamia karibu na karen. Unajua hatuchesi raondii! Wui! Jowiii! Jowiii!!
@MasculinitySato Fellow men,, prioritize becoming better by conquering yourself,,get rid of your lust for the world and start building a real life
It won't be easier but a disciplined man will get out successful