@MariaSTsehai Acha kupotosha wananchi, kwani sio watanzania.. ni wapi kimesema mmoja akiwa mtu wa bara mwingine atoke visitation zaidi ya nafasi ya Rais na makamu wake...
Tupe orodha ya wizara zote za muungano ambayo Kuna mtu wa bara na visiwani...
@ridhiwankikwete@jmkikwete Mwenyezi Mungu ampe afya njema na baraka tele na uendelee kumpa maisha marefu yenye furaha, afya na upendo kutoka kwa wapenda wake wote
Mangi mbona hausomi ramani?Hauoni mkakati wa matamko ni kwa ajili yako? Tazama mwenendo wa mtoto wenu wa kambo,linganisha press ya Jana ya Mbalawa,halafu soma magazeti.Stori ni kama zina andikwa na mtu mmoja. Mbona shida ya Maji/Umeme sio news? Unatafutwa.Achia uwaziri Mkuu wao.
@ManjoniY@GoyaMnanda3@godbless_lema Wewe na akili yako kweli unaona helikopta ingeweza kunyanyua ndege iliozama ...tupe mfano kokote duniani ilipofanyika zoezi hilo
@godbless_lema Duh... Hiyo picha ya toy ya watoto ya kunyanyua ndege kubwa jet na helikopta ndio mfano ya kutoa leo ..
Hakuna anayekataa Kuwa hatuko tayari Ktk maswala ya ukoaji Ktk dharura na majanga ...
Disaster and relief management..ila sio kwa upotoshaji huo.
Mnajidhalilisha kama upinzani
@Gideon333896051@HKigwangalla Ndio , upotoshaji ulikuwa mwingi....sasa serkali inaweza kupanga mipango kutokana na idadi kamili ya watu.. mfano huduma za afya madawa , wenye ulemavu aina fulani ni , huduma za elimu , maji , miundombinu mbali mbali
@BestaMlagila@HKigwangalla Kwanza mbegu haitengezwi viwandani ...inapandwa shambani ...na tutakuwa tegemezi kwa lipi , mbona hata hybrid ya nje au ndani lazima ununue kila mwaka na wakulima hatuna shida nayo