@MikeSonko Its high time the Kenyan Members of parliament ask themselves hard questions...wasije kua wanatengeneza sheria dhalimu wakisahau pesa si afya...wanajitengea mamilioni ya pesa kwa bima zao za afya,wakisahau walala hoi...ona hospitali zilizopo nchini,zinatamausha.
@WilliamsRuto Si hata ww umeona mtu anaweza pelekwa India na asirudi akiwa hai? Fanya hivi,hizo machine ziko India zinunueni mlete Kenya,angalia,huyo ni mbunge,jee? Una habari ni maskini wangapi wanapitia changamoto za magonjwa sugu hapa nchini? Lifanyie kazi hili.