Nenda Youtube Search “Meta ads full tutorial”
kamua kweli, summarize mchimbo kama uko PGM au PCB A’level
Practice uza hata product au service ya mtu
Ndo utakavoanza kupta 10k yako ya kwanza ONLINE, 50K,100k etc
#MadiniYaGaby
Degree unazoweza kusoma YouTube for FREE na zikakukomboa for a lifetime
-Artificial Intelligence & Machine Learning
-Digital Marketing, UX/UI & Creative Tech
-Financial Technology (FinTech) & Blockchain
-Cybersecurity & Ethical Hacking
-Biotechnology & Genetic Engineering
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
Hii ndio itakua platform yako ya kwanza kama hujawahi kutengeneza $5 mtandaoni
Ni platform ina task nyingi na minimum ni $1.3+ na hii ni zaidi ya ile heypiggy
Lakini ili kulipwa lazima uwe na PayPal, kama huna nitakuelekeza kutengeneza
Repost & comment " DISCORD" chap chap
Pamoja Mzee, Yeah Nimeona Kuna Madini Alikuwa anatema we Mwenyewe ukawa unashangaa. Katufungua Wengi Sana, Wanangu Pitieni Hapa Chini Kuna Madini Mengi Sana Kwa Wanaume !!👇👇
https://t.co/dUNuq5MmbU
Simple sana kaka Tumia chatgpt fanya task unataka
Mfano unataka kufanya color grading ifananie video fulani unatype tu “I use Capcut,Color grade my video in the style of Alex Hormozi — high contrast, bold colors, deep blacks, and sharp clarity for social media” inaua
Tunaamini katika nguvu ya ukweli na haki, Tuna matumaini kuwa haki itatendeka, na kwamba Tanzania itaendelea kuwa taifa linaloheshimu misingi ya demokrasia na uhuru wa kujieleza.
#FreeTunduLissu