Je, unajua namna ya kuandaa banda bora la kuku wako? π
Banda lenye uwiano mzuri huongeza usalama, afya bora, na uzito unaokubalika sokoni kwa kuku wako!
Jifunze zaidi leo jinsi ya kuboresha uzalishaji wa kuku kwa ufanisi!
#UfugajiBora#KukuWenyeAfya#SpaDekukuborakwaafyabora
Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Masagara ili kuhamasisha ufugaji wa kuku kibiashara katika mradi wa Uwezeshaji Kilimo Mkakati Cha Kibiashara kwa jamii za Vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Mwadui...
SpaDe Consultant & Synergy Global
Mkutano wa hadhara Kata ya Mwadui Luhumbo kwaajili ya makubaliano ya kupata eneo la kujenga bwawa katika Kijiji cha Wizunza ili kuongeza upatikanaji wa maji. Mradi wa Uwezeshaji Katika Kilimo Mkakati Cha Kibiashara.
SpaDe Consultant & Synergy Global
Wakulima wakiwa safarini kwaajili ya kuhudhuria mafunzo ya ufugaji wa kuku kibiashara kwa vitendo huko Siverland Iringa, katika mradi wa Uwezeshaji Katika Kilimo Mkakati cha Kibiashara kwenye Vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Mwadui....
SpaDe Consultant & Synegy Global
Afisa Ugani wa ufugaji wa kuku akichanganya dawa ya kupulizia banda ili kuliweka tayari kwa kupokea kuku, ni katika mradi wa Uwezeshaji Wakulima Katika Kilimo cha Kibiashara kwenye idara ya ufugaji katika Vijiji vinavyozunguka Mgodi Mwadui...
Spade Consultant & Snyergy Global
Wanufaika wa Uwezeshwaji katika Kilimo Mkakati cha Kibiashara mara tu baada ya kuhitimu mafunzo ya Ufugaji wa kuku kibiashara na wenye tija katika Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji wa Kuku Silverland - Iringa
SpaDe Consultant & Synergy Global
Wanufaika wa mradi wa Uwezeshaji wa Kilimo Mkakati Cha Kibiashara kwa jamii zinazozunguka Mgodi wa Mwadui wakiwa katika mafunzo ya ufugaji wa kuku kibiashara Silverland - Iringa
SpaDe Consultant & Synergy Global
Uhamasishaji kwa jamii zinazozunguka Mgodi wa Mwadui kujihusisha na Ufugaji wa Kuku Kibiashara, na kuongeza upatikanaji wa maji kupitia Ujenzi wa Mabwawa Katika Mradi wa Kilimo Mkakati Cha Kibiashara (Agri-business Development Initiatives)...
Mkutano wa Hadhara Kijiji Cha Idukilo
Tukiwa katika majukumu ya kusaidia ufugaji wa kuku kibiashara katika vijiji vinavyozunguka mgodi wa Mwadui, Kikao cha wadau wakijadili mapendekezo ya namna nzuri ya kuwasaidia wafugaji wa kuku kibiashara....
https://t.co/783yybL2G4
Mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mwadui-Luhumbo katika uhamasishaji wa Ufugaji wa Kuku Kibiashara katika mradi wa Uwezeshaji wa Kilimo Mkakati cha Kibiashara kwa jamii za vijiji vinavyozunguka Mgodi wa Mwadui...