2017 - 2022 mimi na wenzangu kwa nyakati tofauti tulibahatika kupata muda na boss Kusaga wa CMG! Tulikua tunamfuata na ideas nyingi za biashara ambazo leo hii nikifikiria nyingine naona zilikuwa hazimake sense kihivyo lakini nahisi alikua anapenda ile momentum yetu akawa anatupa muda wake kisha baadae na yeye akaanza kutupatia task zake ndogondogo mfano amewahi kutuagiza tuorganize something na viongozi wa vyuo vikuu Tanzania.
Kile kipindi i was very broke but i never thought about kulipwa na boss Joe, i was passionate to learn from someone who own 80% of media attention in Tanzania. Nakumbuka ni baadae sana like after 2 years ndo boss akawa anatusaidia nauli hizi na pesa kadhaa tukionana nae bila hata sisi kumuomba.
But vitu nilivyowahi kujifunza kupitia kwake ni zaidi ya what i can write here, few moments boss tunakutana nae anafanya meeting kwa simu na anaclose dili la billions kama utani. Watu wa maana ambao nilijuana nao kupitia yeye pia ni wengi sana.
One day tulimwambia boss tunashida na Diamond and he just made a single call in 3 minutes na kusema kesho mtaonana nae.
Boss joe ni mmoja ya watu nawashukuru sana! Ni boss ambae amenyooka sana! Hapendi kona kona.
Akili Za kuambiwa changanya na zako;
Ushauri wangu; kama ni kijana umemaliza chuo au ndo unaanza kujenga career yako! Usifocus na fursa za kukutatulia changamoto zako za leo hii, Focus na fursa ambazo leo bado zinakufanya uishi kwa tabu lakini miaka 5 ijayo zitakutoa kabisa jumla jumla hapo ulipo leo. Njia rahisi kabisa ni mtafute mtu 1 aliyepiga hatua, kwa namna yoyote kaa nae karibu ujifunze kwake, sahau kabisa izo laki 2 laki 3.
🇧🇷🥹 Rodrygo: "I was like 'just wait and see. I’m gonna score 3 goals this weekend, and Real Madrid will come."
"My parents said they hoped so, but I could see it in their eyes that they didn’t believe. The game kicked off. 22' Goal Rodrygo. 26' Goal Rodrygo. 31' Goal Rodrygo."
"Hat-trick in 9 minutes. At halftime, I’m sure Madrid were looking for my dad’s number."
"Late that night he finally comes home. I’m still playing video games in the living room. He walks past me. Says nothing. Goes into my room."
"When he comes back, he hands me the Real Madrid shirt. On the back, it says RODRYGO."
"He says, 'Son, today your dream has become reality.' I look at him. I look at the shirt. I just don’t understand.
"Then Dad explains: he got a call right after the game, he had gone to São Paulo that day and signed the deal, and that he didn’t want to tell me anything before the transfer was secured."
"We hug. It’s a miracle. Only God could have made this happen." ❤️ (@PlayersTribune)
Xabi Alonso if not favoritism,tell me why you kept him on the bench and playing Gonzalo and Mastantuono 🫵🏾. Because of ur favoritism you are letting this beast go on loan and leaving Gonzalo. You’re just fuvkin fraud Xabi ,ur time here is clocking ⏳
How does Pogba make passes that accurate? The composure this guy has in midfield is unreal. Every time he touches the ball, the whole game slows down. 🔥
https://t.co/SJGgQFEj0H