Twaha Mwaipaya alipokea USD 52k kutoka kwa Maria Sarungi, fedha zilizotoka Ford Foundation. Matumizi ya fedha hizo ni kusafirisha baadhi ya vijana, kutoka Mbeya, Mwanza, Dar na Arusha kwenda Nairobi kujifunza harakati na namna ya kufanya machafuko, Oct. 29 ndio kile kilichotokea.
Serikali hailazimishi maridhiano kwa mtu wala chama na ndio maana inasema tu na kueleza umuhumu wake, after all, serikali inaweza kufanya kazi zake vizuri tu na mambo yakaenda kama kawaida bila hayo maridhiano. Nimeona kuna kachama kanajiona bila wao mambo hayaendi, wajinga tu.
Baada ya Oct. 29, 2025 wamepanda maandamano ya machafuko zaidi ya mara 7 na yote yamefeli, hakuna kilichotokea. Watu haohao, bado wanaamini wanaweza kuzuia AFCON isitokee Tanzania huku wakijua wazi ya kwamba, hata hilo halitofanikiwa. Wanaharakati na ndoto za Alinacha.
Pole sana, ulishakubali maridhiano, sema wenzako wenye tamaa ya fedha za wazungu wamekuchinjia baharini.
Ila usijali, kuna wengi sana utaungana nao huko Korokoroni.
๐๐ฐ๐๐ง๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ง๐ข๐ฌ๐ ๐๐๐ญ๐จ๐ฅ๐ข๐ค๐ข ๐ก๐๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ง๐ ๐จ ๐ฐ๐จ๐ฐ๐จ๐ญ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฎ๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ง๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ข๐ค๐?
Wakati 'African Association' inaanzishwa na wengi wakiwa waislamu akina Kleist Mbuwane, yeye kama mwasisi akiwa na wenzake akina Ibrahim Hamisi, Mnubi Ali Saidi Mpima, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecli Matola, tayari kulishakuwa na vyama viwili, European Association and Indian Association, vyote hivi vilishughulika na watu wao.
Watu weusi walikosa haki, ndio maana wakajikusanya na kuanzisha chao kwa ajili ya mambo yao.
Wamisionari sana, hasa Wakatoliki, wajiwatahadharisha waumini wao wasijihusishe na harakati zozote zitakazopingana na serikali kwa sababu, kwa kiasi kikubwa Wamisionari wote walikuwa wanufaika wakubwa wa unyonyaji wa ukoloni.
Tazama, Mji wa Dar es Salaam 1920 ulikuwa umegawanyika sehemu kubwa 4: Kariakoo, Gerezani, Kisutu na Misheni Kota. Makazi ya asili ya wenyeji yalikuwa Kisutu, Kariakoo ilikuwa sehemu ya kuandikisha wapagazi wakati wa Vita Kuu ya Kwanza na Misheni Kota, ilikuwa sehemu maalumu wakoloni walioitenga kwa ajili ya WAKRISTO.
Wakati huo, Wakristo hawakuwa wengi Dar, hivyo walitengwa sehemu yao maalumu ya kuishi ili wasijichanganye na Waislamu na mitaa yao ilipewa majina ya sehemu ambazo Wakoloni wa Kingereza walianzisha vituo kama vile Magila, Ndanda, Muhonda, Muheza, Likoma na Masasi na mitaa hiyo imedumu hadi hivi leo.
Waislamu wakati huu hawakuwa wengi wenye elimu kama ilivyo hivi leo, lakini walijitoa kwa hali na mali kwa mapenzi ya hali ya juu kulipagania Taifa lao lakini, Wakristo waliojiita na wasomi wa viwango vya juu, walifyata mikia na kukubali kumsujudia mkoloni ili waendelee kula mkata na siagi.
Kuna swali moja chungu na gumu, wakatoliki wengi hawapendi kuulizwa, ni kwamba, Je, Kanisa Katoliki lina mchango gani kwenye kupigania Uhuru wa Tanganyika?
Achana na wakatoliki kama watu walioamua kukengeuka maagizo ya Kanisa kama Mwalimu Nyerere, nazungumzia Kanisa Katoliki kama Taasisi.
@Getrude_mollel Sekta ya nishati pia ina mchango mkubwa. Uzalishaji wa umeme uliongezeka kwa takribani 14.4% mwaka 2024, hatua inayosaidia viwanda na miradi mipya ya uwekezaji kufanya kazi bila vikwazo vya umeme.
Uwekezaji Tanzania umefikia rekodi mpya.
Kituo cha Uwekezaji (TIC) kilisajili miradi 901 yenye thamani ya Dola Bilioni 9.3 mwaka 2024 na kuzalisha ajira 212,293. Kimantiki, mazingira bora ya biashara chini ya Rais Samia yanakuza uchumi na kutatua tatizo la ajira. Unataka kujua 2025 - 2026 imekuwaje?
๐จ Yanga inaingia uwanjani ikiwa haijapoteza mechi ya Ligi Kuu msimu huu kati ya 12 ilizocheza ikishinda kumi na sare mbili. Pia ndiyo timu yenye safu kali ya ulinzi ikiruhusu mabao mawili, imetikisa nyavu za wapinzani mara 30.
Prisons ina mlima mrefu wa kuupanda haijawahi kupata ushindi dhidi ya mabingwa hao watetezi tangu iliposhinda 2-0, Mei 2018. Mbaya zaidi, Prisons msimu uliopita ilifungwa jumla ya mabao 9-0 dhidi ya Yanga, mechi ya kwanza kupoteza kwa 4-0, kisha 5-0.
๐ Rais Samia Suluhu anaweza kusahau, lakini nchi haiwezi kusahau.
๐Iko siku, fedha zote ambazo umekula ili uharibu amani ya taifa letu, utazitapika ukilia machozi ya uchungu na maumivu.
๐Hakuna siku ambayo itakuwa salama kwako kukanyaga tena Tanzania.
We are watching!!!!
๐ Rais Samia Suluhu anaweza kusahau, lakini nchi haiwezi kusahau.
๐Iko siku, fedha zote ambazo umekula ili uharibu amani ya taifa letu, utazitapika ukilia machozi ya uchungu na maumivu.
๐Hakuna siku ambayo itakuwa salama kwako kukanyaga tena Tanzania.
We are watching!!!!