Ukiwa Kijana kumbuka
1.Heshimu watu usimdharau mtu
2.Usipende mafanikio ya haraka
3.Penda Kujifunza Vitu vipya
4.Usiwe na mademu wengi wanakula muda na rasilimali
5.Tafuta kujitegemea usipende kuishi kwa kumtegemea mtu
6.Anzisha kisehemu chako cha uzalishaji uongeze kipato
VYAKULA VYA ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI.
Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo πππ
π¨ Yawezekana unataka kununua simu used au umetoka kurekebisha simu yako kwa Fundi
Je utajuaje kuwa hiyo simu haina matatizo yeyote kwenye hardware system zake?
Leo nataka nikuelekeze namna ya kutest kuwa kila feature ya simu yako kama haina shida kwenye hardware....ππΎ
Nimefanya research Miaka 10 nimegundua salon ya kiume inalipa kuliko ya kike.
Nimekuwa manager miaka 6 chini ya salon zote 2 na Kila mwisho wa mwaka nilingundua salon ya kiume imeingiza pesa zaidi.
Ndugu Mtanzania, kama hujui ufanye Nini na una pesa at least 1M unaweza...