Kwa mjibu wa vyanzo Vyangu ni kuwa, Tajiri wa Geita Bwana Felician Buyamba maarufu kama GSM Wa Geita Kwa kushirikiana na familia anayo enda kuolewa Binti yake walikuwa wame panga Diamond Platinum ndo awe mtumbuizaji kwenye show ya Harusi inayo tarajiwa kufungwa hapo kesho.
Lakini mpaka muda huu Diamond amekataa Dau la milioni 415 ambayo ilikuwa imewekwa mezani na tajiri huyo, Diamond yeye alihitaji milioni 500
Ili afanye show hiyo.
Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa amekabidhi ofisi rasmi kwa Kaimu Sheikh Abbas Ramadhani, katika ofisi za Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
Jamaa ana watu wengi sana wanaomkubali. Leo wamepanga kwenda kuswali naye kwenye msikiti anaoswalisha Magomeni. Kweli cheo ni cha dunia, lakini heshima na ukubwa wa mtu huwekwa na Mungu ndani yake. โช๏ธ๐คฒ๐พ
Hii Kazi ina Mchango Mkubwa sana Kwa Taifa ๐, Mwanangu Mmoja juzi akawa Ananiambia kuna Nchi wameifanya Hii Kuwa Ndo kazi namba Moja yenye mshahara Mrefu ๐ซก๐