HUU UNYAMA WA SAMIA KWA TUNDU LISSU HAUVUMILIKI.
Tundu A. M. Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake.
Kuanzia tarehe 15 Desemba 2025, likizo ya mahakama na majaji itaanza na itamalizika tarehe 31 Januari 2026. Hadi wakati huo, Tundu Lissu atakuwa amekaa siku 80 bila kesi yake kusikilizwa, atakuwa anaonana na kuta chakavu za gereza la Ukonga.
Mpaka kufikia januari 31, atatimiza siku 297 gerezani akiwa ametengwa na ulimwengu na chini ya ulinzi mkali unaoendelea wa saa 24/7, katika selo yake ya 6x6. Huu udhalilishaji wa utu wa mwanadamu. Hii haikubaliki. Simama na Tundu Lissu! Inuka kwa ajili yake! Na Sema kwa ajili yake. #FreeTunduLissu.
HUU UNYAMA WA SAMIA KWA TUNDU LISSU HAUVUMILIKI.
Tundu A. M. Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake.
Kuanzia tarehe 15 Desemba 2025, likizo ya mahakama na majaji itaanza na itamalizika tarehe 31 Januari 2026. Hadi wakati huo, Tundu Lissu atakuwa amekaa siku 80 bila kesi yake kusikilizwa, atakuwa anaonana na kuta chakavu za gereza la Ukonga.
Mpaka kufikia januari 31, atatimiza siku 297 gerezani akiwa ametengwa na ulimwengu na chini ya ulinzi mkali unaoendelea wa saa 24/7, katika selo yake ya 6x6. Huu udhalilishaji wa utu wa mwanadamu. Hii haikubaliki. Simama na Tundu Lissu! Inuka kwa ajili yake! Na Sema kwa ajili yake. #FreeTunduLissu
REPOST 500
#SMG
#SamiaMustGo
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ndugu yetu, rafiki yetu @fbuyobe alikamatwa na Askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jana jioni mpaka muda huu haijulikani amepelekwa wapi.
Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake.
Disemba 9 lazima tutoke kwa wingi ili tukomeshe huu ushenzi.
#FreeFortunatusBuyobe
Kinachouma na kuudhi ni uongo wa viongozi.@mwigulunchemba1 huyu mama wa Arusha alipigwa risasi mgongoni akikimbia kusalimisha maisha yake. Wewe unasema katoka nje? Kwamba pia alihongwa? Aliuwawa na kichanga tumboni cha miezi mitatu. Mnataka watu watulie kwa uongo wenu? 😭😭😭
SOKA: “ikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.”
MDUDE: “Kama kuna tuhuma, wanipigie niende… kwa nini kunivizia?”
BUYOBE: “nikipotea ghafla, kosa langu litakuwa kutumia haki yangu ya uhuru wa kujieleza”