@DorahManya#Zinga . Kama wazazi naomba tukifika shule tutembee penye watoto wanalala, jikoni na kama kuna swala tuongelee kama wazazi ,wazazi wengi tunafika tu staffroom.
Tunamaliza wiki kwa kishindo kwenye #MaishaConcertFriday π₯
Wyclif Okumu na Dalmus Sakali wamebeba energy ya weekend vibaya sana! π
Kaa rada, ongeza volume juu⦠leo ni sherehe tupu mpaka mwisho! Ni hapa ndani ya #Radiomaisha#RadioZaidiYaRadio