#Hashtag Throw Back Thursday (TBT) Ni kweli kuwa muziki wa dansi wa zamani ni
mzuri zaidi kuliko wa sasa?
CHANGIA MADA
1. Tuma comment yako ukianza na neno #EatvTBT
2. Comment yako tutaruka nayo hewani leo saa 10:30 Jioni
Uchaguzi wa Kenya uko wazi hakuna namna ya kuchezea hata kura moja.
1. Kura zikimalizika sanduku la kwanza kuhesabu na mgombea urais, Form 34A inapigwa picha na kutumwa kwenye public portal ambayo kila mtu anaweza kuona matokeo.
2. Wagombea urais wote wana tallying centre zao
Tukio la Kuingia na Jeneza, Msalaba, na mavazi ya kiongozi wa Imani kwenye sherehe za Simba Day ni mzaha uliopita kiwango. Litakuwa jambo la busara kama Klabu ya Simba itaomba radhi hadharani kwa mashabiki na watu waliochukizwa na Mzaha ule. Mungu Wetu Hadhihakiwi.
Ndugai upo? Umetaka jambo limekupata sasa! Sukuma Gang nchi hii siyo yenu lazima mkubali kuwa kambale hayupo na zama zimebadilika yaani
Diwani unamdanganya sana Ndugai na Sukuma Gang wenzako!.