For the sake of X users, Sir. Elon Musk, please consider introducing a Dislike Button. Some tweets are so ridiculous that you don't even know what to comment. All you want to do is hit Dislike!
@elonmusk@elonmusk@elonmusk
@prettyfancy_01@VodacomTanzania Voda wana ujinga mwingi sana! Ukiwa na hata 1M au 2M kwenye M-Pesa, ghafla unaanza kupigiwa na matapeli wanaodai kuna salio limeingia kimakosa. Cha kushangaza zaidi, wanajua hadi salio lako halisi la M-Pesa. Hivi usalama wa taarifa za wateja uko wapi?
Watu Wa DINI..
Ukiyaongea Mambo Ya Dini
Wanadhani Sisi Wengine
Tulizaliwa Nje Ya Dini Hizo,
Bro,
Tulizaliwa Na Kukulia FoR Almost
25+ years NDANI yan hizo DINI.
Shida ni WEWE bado uko ndani ya
Hilo Box,
Huwezi Kuona Kinachoendelea.
Nikume tu, Pole.
...
FRANCIS | ABRACADABRA