@Mdudu1808@muciidebwaytz@zoetjesheeftX Azam Taasisi Kubwa na inaendeshwa professionally, sasa hizi media za kisanii, zinaendeshwa kisanii sanii, wanaamini wao wanakupa umaalufu, yaani unawahitaji wao kuliko wao wanavyokuhitaji wewe.
@JamiiForums Kama hajathibitishwa kazini, ina maana bado hajawa mfanyakazi rasimi, anaweza akaamua kuacha kazi na kudeal na afya kwanza, akipona ataomba tena, akikosa ataendelea kuomba, achague tu
@JamiiForums Ila watu, Mtu kabahatika kupata kazi, hajamaliza hata mwaka, sawa anamatatizo ya kiafya, Utaratibu hauruhusu mtu kuhama, Hela za kazini anazitaka, na afya anaitaka, anachagua kimoja, kimoja anakiacha
@dondiego12245@Sirajitz1 Watu hushindwa kutofautisha kati ya kuwa na followers na kuwa maarufu, Watu maarufu hawahitaji followers insta kuwajua
Mf:
Mwl JK Nyerere, hana followers mitandaoni
Jay-Z, N.k, kuwa maarufu ni tofauti na kuwa na followers, japo kupata followers ukiwa maarufu ni rahisi sana.