@ExMayorUbungo Kaka tuliokuwepo Leo karibu na mkutano wao yanachekesha San ,wanajinadi eti chongolo anapita na gari kila sehemu na anayaona matatizo ya wananchi na anaponda mwenyekiti wetu yeye anapaa na Choppa hawez kujua matatzo ya yananchi kwel?wanaongea utumbo mtupu PEOPLE'S!!!! POWER