.
Aidha, kwa sasa, Wakala wa Vipimo Tanzania ndiye Mwenyekiti wa Jukwaa la Kikanda linaloratibu masuala ya kivipimo (legal metrology) kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCMEL).
*KAMATI YA UTALII, BIASHARA NA KILIMO BARAZA LA WAWAKILISHI YADHAMIRIA MAMLAKA YA VIPIMO ZANZIBAR IFIKIE VIWANGO VYA WMA BARA*
*Na Veronica Simba - WMA*
Kamati ya Utalii, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, imekiri kuvutiwa na utendaji kazi
.
Wakala wa Vipimo Tanzania imekuwa ikipokea wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kwa lengo la kuja kujifunza kuhusu majukumu ya uhakiki wa vipimo
Ripoti hizi sasa zinapatikana kwa urahisi kwa umma kupitia tovuti rasmi ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) na mitandao ya kijamii ya NAOT, ikiwemo Twitter, Facebook, na Instagram (@ukaguzitanzania).
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amekamilisha ukaguzi wa Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 na kuwasilisha Ripoti Kuu za Mwaka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. @SuluhuSamia. Ripoti hizo pia zimewasilishwa Bungeni mnamo tarehe 10 Aprili 2026.