Lulu diva ni mpambanaji sana kwa mujibu wa GaraB na Aaliyahโฆ Mrright pia anasema jina lake la seanpaul alipewa na ex wake๐ Yote haya ndani ya jukwaa la Hello mrright Tanzania
Usipitwe na mechi kali baina ya AL AHLI v AL NASSR
Katika msimamo wa Saudi League AL AHLI anaendelea kung'ang'ana kwenye nafasi ya tatu huku AL NASSR akishikilia nafasi ya pili wote wakiongozwa na AL HILAL ambae ameshinda mechi zake zote
Usipitwe na mechi kali baina ya AL FATEH v AL ITTIHAD ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ jumamosi hii ndani ya startimes.
Katika msimamo wa Saudi League AL ITTIHAD anashikilia nafasi ya 4 huku AL FATEH akishikilia nafasi ya 8 wote wakiongozwa na AL HILAL ambae ameshinda mechi zake
RATIBA IMESIMAMA HATARI!!๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Soka la kibabe, soka la manguvu mengi, Soka Mikimbio,
Soka Mashuti makali,Soka Maufundi
Mabibi na Mabwana karibuni katika wikiendi ya Michezo ya Bundesliga...
Zamu ya Firmino,Mahrez, Saint Maximin huko Saudia Leo...๐ฅ
Tazama Al Ahli v Al Fateh katika Saudi League, Leo Hii Saa 2:00 Usiku kupitia St.Sports Life ndani ya @startimesbongo ...
๐ฅMechi za Kibabe AFC Champions League kupitia @startimesbongo ...
๐J'tatu 04 Machi: Al Ain v Nassr |1:00 Usiku.
๐J'nne 05 Machi: Hilal v Ittihad |3:00 Usiku.
๐J'tano 06 Machi: Shandong v Yokohama |7:00 Mchana.
๐ฅMechi za Kibabe AFC Champions League kupitia @startimesbongo...
๐J'tatu 04 Machi: Al Ain v Nassr |1:00 Usiku.
๐J'nne 05 Machi: Hilal v Ittihad |3:00 Usiku.
๐J'tano 06 Machi: Shandong v Yokohama |7:00 Mchana.
#TBT yenye Shangwe na Soka la Saudia Leo...๐ฅ
Tazama Al Nassr v Al Hazem katika Saudi League, Leo Hii Saa 2:00 Usiku kupitia St. World Football ndani ya @startimesbongo ...
Lipia kifurushi chako Mapema...