YANGA YAENDELEA KUNG'ARA
Klabu ya Dar Es Salaam Young Africans (@yangasc1935 yandelea kung'ara baada ya kuitembezea kichapo cha Goli moja kwa Sifuri klabu ya Singida Big stars ya Singida @singidabigstars
Yanga sasa kucheza fainali ASFC.
@Salym@startvtanzania1@bbcswahili
HUU NDIO MWONEKANO WA MAJENGO YA IKULU MPYA YA CHAMWINO DODOMA.
Ikulu ya chamwino Dodoma inatajwa kuwa na ukubwa wa zaidi ya ekari 8000 yaani mara 15 ya hifadhi ya taifa ya Saadan!
Eneo hili linatajwa kuzungukwa na wanyama wa aina mbalimbali.
@startvtanzania1@Salym
RASMI SAMIA AANZA KUITUMIA OFISI MPYA IKULU CHAMWINO DODOMA.
Rais wa Tanzania DR.Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wake Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuingia Ofisini kwake.
@SuluhuSamia@dr_mpango@DrHmwinyi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango wakipiga ngoma kabla ya kuingia Rasmi katika Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Mei, 2023.
@ikulumawasliano@venusnyota@startvtanzania1@Salym
UKUBWA WA IKULU YA DODOMA NI MARA MIA MBILI YA IKULU YA DAR ES SALAAM.🇹🇿
📍Dar es Salaam: Ekari 41
📍Dodoma: Ekari 8,473
Eneo la Ikulu ya Dodoma ni zaidi ya mara 200 ya eneo la Ikulu ya Dar es Salaam.
@venusnyota@ikulumawasliano@ccm_tanzania@Salym@startvtanzania1
Embassava Sacco Tout Who Allegedly Pushed 17-Year-Old Boy Out Of Moving Bus Arrested.
The National Transport and Safety Authority (NTSA) officers on Friday arrested a rogue conductor who allegedly threw a passenger out of a moving bus on Outering Road in Nairobi.
@Salym@Kenyans
Wafanyabiashara Kariakoo waendelea na mgomo kwa kutofungua maduka yao kwa madai ya kutaka kufutwa kikosi kazi, utitiri wa kodi na usajili wa maghala ya kuhifadhia bidhaa licha ya waziri mkuu Majaliwa kufuta kisimamisha kikosi kazi hicho.
@startvtanzania1@Salym@bbcswahili
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose mayemba amewataka viongozi wanaopewa mamlaka na wananchi kuwawakilisha bungeni, kuwasemea shida na kero zinazowatatiza wananchi na si vinginevyo.
@MayembaRose @startvtanzania1 @ChademaTz @bavicha_taifa
Klabu ya Dar es Salaam young africans @yangasc1935 imefanikiwa kujitwalia Ubingwa wa ligi kuu ya (NBCPremier league ) Tanzania bara baada ya kuichabanga timu ya Dodoma jiji Bao nne kwa mbili katika Dimba la azam Complex chamanzi Dar es salaam.
@Tanfootball@Salym@startvtanzania1
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amelaani vikali kitendo kilichofanywa na Askari wa Tanapa cha kupiga watu mbarali na kuagiza Polisi kuwakamata ndani ya saa 24 Askari wote waliohusika.
Homera amesema Serikali haijawahi kumtuma Askari kupiga au kunyanyasa Raia !
@startvtanzania1
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo @ChademaTz Kanda ya nyasa Mch. @PeterMsigwa7 akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano uliofanyika mjini Makambako.
Mkutano huo umehudhuriwa na M/kiti wa CDM mkoa Njombe Rose mayemba na viongozi wengine wengi.
Serikali imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants,
@yangasc1935@Tanfootball@WizaraSanaa
MAAFISA HABARI WA POLISI WAPEWA MAFUNZO MOROGORO.
Maafisa habari wa Jeshi la Polisi kutoka mikoa Mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar wamepewa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao.
#mafunzokazini@tanpol@startvtanzania1@WizaraMNN
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema Amina"