Nyalandu anasema tume ilitembelea familia zaidi ya 1323 za waliouliwa ndugu zao na waliopotea……kuwahoji!
Kama waliokufa mnasema ni 500
Kwanini tena mnasema familia mlizotembelea za waliokufa ni zaidi ya 1300+
HOW!?
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Master Tindwa alipigwa risasi akauwawa akiwa nyumbani kwake sababu alilipwa na akapewa mafunzo ya kuandamana.
Keep resting in peace, Master!
What a sad day for us!!