@masoudkipanya Hii inamaana kuwa hicho kivuli ni China na huyo mtu ni mua'Africa "Tayari China inaingia ndani ya Africa, Tafsiri yake ni kuwa waafrika hatuwezi kutoka kwenda China kwa ajili za kibiashara maana wachina wenyewe wameingia kuteka masoko wao wenyewee... "