🚨 Official: PL referee David Coote has been suspended with immediate effect pending a full investigation.
PGMOL will be making no further comment until that process is complete.
Fumanizi 💥
Huyu kaka alisafiri kidogo tu karudi bila kutoa taarifa kamfumania mke wake akiwa anazagamuliwa na rafiki yake jirani tu .
Watu wa chuga hamnaga dogo😁kauwasha moto balaa ,
Video kwenye comment
Azam FC jana ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu kwa msimu wa 2024-2025 dhidi ya JKT Tanzania, lakini kabla ya mechi hiyo, mabosi wa timu hiyo wameshtushwa na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuzuia kwa muda mazungumzo ya mkataba mpya.
.
Fei Toto alisaini mkata-mba wa miaka mitatu ndani ya kikosi hicho, hivyo amebakiza mkataba wa takriban mwaka na miezi kadhaa, jambo ambalo liliwafanya matajiri wa klabu hiyo wajihami mapema kwa kutaka kumuongezea mkataba mpya, lakini walichokutana nacho kimewashitua baada ya kiungo huyo kuwagomea.
.
Ipo hivi. Mabosi hao walitaka Fei Toto apewe mkataba mrefu zaidi kutokana na kiwango alichokionyesha msimu uliopita na mechi za msimu huu, lakini mchezaji huyo amewataka wasiwe na haraka naye kwa sasa.
.
Azam ilitaka kumpa mkataba mnono Fei ambao ungemfanya kuwa kiungo ghali zaidi katika Ligi Kuu, hasa baada ya kuifungia timu hiyo mabao 19 akimaliza katika nafasi ya pili msimu uliopita nyuma ya Stephane Aziz Ki.
Jason Statham is one of the finest action heroes of this generation, some says he’s our last action hero.
but, before he stepped foot on his first movie set,
He had a past life that would rival any of the characters he’s been on the screen.
Let's dig into his life which helped him become the personality he is today.
Heshima yako kwa Mzee Makamba, Kikwete etc imekuwa kama udhaifu wako. January anajiona kama ndiye Rais. Anaiba bila woga na Maharage Chande. Anatishia watu serikalini na chamani. Anaogopwa sana. Fanya uchunguzi kuhusu ukwasi wake.Ana fedha nyingi Dubai na SA anazosimamia Mwamvita