Humu watu wanasemaga kiutani utani kama kijana ni muhimu kuwa na hivi vitu
Nida
Passport
Driving licence
ATM card
Birth certificate
Bima ya afya
Unaweza puzia hivi vitu ๐ ๐ ila kuna wakati unafika unahitajika uwe na hivi vitu ndani ya week 1 akili lazima ikae sawa ๐ ๐ ๐๐ฟ
๐TRENI LA LEO LEO LIKO TAYARI ๐ฐ
๐ODDS 549.22, MECHI 23โ ๏ธ. Hili ni kwa WANAOLITAKA TUU
๐KAMA UNALITAKA RETWEET HAPO CHINI NIKUONE NIKUPE CODE BURE ๐ฐ
"Kwa kipekee kabisa napenda kuwashukuru Mashabiki wetu kwa kutushangilia kwa nguvu na kutusaidia kupata ushindi dhidi ya Azam kwa kutokea nyuma na nina imani kesho watajitokeza kwa wingi kwenye mchezo wetu dhidi ya Singida" Gamondi
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko