Emptiness is a symptom that you're not living your life creatively..... Either, you have no goal that is important enough to you, or you are not using your talents and abilities to attain an important goal
There are obvious benefits to a society which can arrange for its people to be employed in ways which are socially profitable and personally rewarding.
Enzi hizo ipigwe alazwe pema peponi ya daz nundaz au ipigwe alikufa kwa ngoma ya @MwanaFA (miksa jamaa yupo kwenye jeneza) au ipigwe kwaherini ya Ferooz zilikua zinakukumbusha kuishi responsibly. Gen z artists kwenye kujenga maadili ya jamii bado tunawadai sana.
5. Pesa ya kununulia dawa na vifaa tiba…
Mwisho, sijataka kukupa figures ila ukizingatia maeneo haya matano na especially no.3, utaweza kulifanya hili kwa ufanisi. Weka msimamizi unayemuamini au simamia mwenyewe.
Mtaji hutegemea kodi ya eneo unalotaka kufungulia duka lako, kwa ushauri yafanye haya
1. Fanya survey ya eneo zuri na kodi za frame, weka hio pesa pembeni
2. Pesa ya design na renovation, (hapa panaweza ondoka na mpunga mwingi, jitahidi usitumie sana, uta-improve mbeleni) 👇🏾👇🏾
3. Pesa ya mfamasia pamoja na misharaha ya wafanyakazi walau ya miezi 3 (hapa ndo wengi wanapofeli, jitahidi uwe na mishahara yao walau ya miezi 3 ili kuipa room biashara kukua, niamini mtaji wako utarudi na biashara itaweza kuwalipa mbeleni)
4. Pesa ya vibali na registration 👇🏾