Baadhi yao wanamasomo ya kipumbavu. Kwa udhamini wa watu wa kuzimu. Ufusika ndo wameumbwa nao? Kwa hiyo alowaumba kawawekea tabia za hovyo halafu aje kuwatupa Jehanamu Wazinzi wote! Basi itakuwa ni ajabu kuu.
Mpe mungu maisha Usije ingia Jehanamu na hao unaowatetea.🥺🥺🥺
Bana Weee Kwenye Kugagaa Na Upwa Nlishawahi Lima Alizeti Sijui Kwanini Bibi Yangu Anauitaga Ufuta.Kama Sio Mama Yangu Kunitumia Picha Za Shamba Ningesema Watu Wamenitapeli Wameenda Kupiga Picha Shamba Lingine. Hakuna Kitu Kiliota Hapo🤣🤣
Kuanzia Siku Hiyo Mimi Na Kilimo NO
Hello bosses
Karibuni mjipatie unga lishe mzuri,
Unaongeza afya na kinga mwilini
1kg;9000
3kg:27000
Location: Dar es salaam
📱:0744522001
Delivery tunafanya kwa gharama za mteja, mikoa yote Tanzania