#MICHEZO Bondia Taurai Zimunya (24) Raia wa Zimbabwe mwenye uzito wa Super bantam amefariki Dunia katika Hospitali ya Parirenyatwa alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kupigwa Knock Out (KO) na mpinzani wake katika raundi ya tatu.../https://t.co/CgvA9ccrte