“Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia.
”
“Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? Bwana wa majeshi, Yeye ndiye Mfalme wa utukufu.
”
— Zaburi 24:9,10
Faith is about believing and trusting God, not only in the good times but in darkness or in a storm, or even when you can’t fully understand what is going on in your life.
Vitu vya kuwekeza ktk familia
1.Utu
2.Muda wako na familia,
3.Wekeza uhusiano wako kwa familia yako,
4.Wekeza imani yako kwa familia yako ,
5.Wekeza upendo ktk familia yako
“Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake,,,,,,tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.
”
1 Timotheo 5:8
Jesus modeled to His disciples (and to us) that we can pray simply in everyday language. He showed us that our prayers should be sincere and from our hearts.
@DicksonHen7900 Ebrania 6
⁴ Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu,,,,
⁶ wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao,,,,
@BarakaMaviatu@fidodido7437 Kama dunia ina move nzima nzima kwa nini ukirusha kitu juu kina rudi palepale,,au wewe ukiruka juu kwa nini unarudi palepale??
Kwa nini jua ndilo lililo amrishwa kusimama wakati Yoshua anapigana na sio dunia??