Paulo pia anatoa kanuni zingine muhimu zenye manufaa kwa aina mbalimbali za uhusiano wa kijamii, ndani na nje ya nyumbani.
Jifunze somo la juma hili kwa maandalizi ya Sabato ya Machi 21.
6/6
SABBATH, MARCH 14
Kuishi Pamoja Sisi kwa Sisi
Kol. 3:18โ 4:6 Efe. 5:22โ25, 33: Mit 22:6, 15: 1 Pet. 2:16 1 Thes. 5:17.
Fungu la Kukariri
" Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtuโ (Wakolosai 4:6).
1/6
Katika kifungu chetu cha juma hili, Paulo anatoa baadhi ya kanuni muhimu za jinsi familia ya Kikristo inavyofanya kazi vyema zaidi, Kwa sababu nyumba ya Kikristo inapaswa kutawaliwa na kanuni za kibiblia, ni lazima ifanye kazi kwa namna tofauti na ile ya kaya ya Kirumi,
5/6