Watanzania tumpazie sauti huyu jamaa. Huyu jamaa ni mwana CCM lakini alijitoa kupambana na kimama. Tumpazie sauti kama tunavyowapazia sauti watu wa upinzani.
Tusikubali watu wanaopaza sauti kusahaulika wanapokamatwa. Lazima tuwapambanie Kama walivyotupambania walipokuwa huru
Kuna pande mbili za janga la utekaji: upande mmoja ni SAMIA na wauaji wake, upande wa pili ni ninyi Watanganyika. SAMIA na wauaji wake wana kila resources za kuwatoa uhai. Kwenu resource muhimu sana ni kuwa na uelewa wa jinsi ya kuishi salama in midst of ushetani wa SAMIA.
#5, ona jinsi Zitto Kabwe na ACT wametu fuck Watanzania once again.
Yani uhuni wa ACT na CCM kule Zanzibar hawa common wealth wamechukulia kama vile ni kitu serious kimefanyika mpaka wamewapongeza kwa hilo.
ACT Wazalendo once again wanahakikisha wanachelewesha haki kupatikana Tanzania.
Kuna umuhimu wa petition kuhusu hili kufanyika na Watanzania wote tusign then iende Common Wealth.
Madhara ya ujamaa tunateseka nayo sana
Chama na dola vimekua fused pamoja kiasi kwamba wanachama wanahisi hakuna Tz bila CCM madarakani
Kudhani unaweza kutoa watu wenye fikra kama hizi madarakani through elections na matokeo ni hadithi za Abunwasi
Kipindi TAIFA linataka Maridhiano walisema wao wanatiki KWANZA.
Wamemaliza KUTIKI saizi wanatulazimisha tufanye Maridhiano.
Yani muda wanaotaka wao ndio tuwasikilize. Sio wakati huu, labda zama za SIASA ZA MASAJI.
Kipindi cha JPM kuna askari alikua anatembea na ilani ya CCM. Pia kuna mwanajeshi mstaafu alikiri kuwahi kutoa lita 200 za mafuta ya Jeshi kwaajili ya shughuli za CCM.
Nchi imeoza nje ndani.
Kwenye intelijensia kuna kitu kinaitwa CONSTANT VIGILANCE OF AN OFFICER. Kwa tafsiri nyepesi ni "kuwa macho muda wote". Japo wewe raia sio intelligence officer, lakini kwa hali hii ambapo Samia na Abduli wanatoa roho watu kila kukicha, you all need to have CONSTANT VIGILANCE
LEMA na Abroad TV, DGIS Mombo hajamuuza Emma bali KAFANYA kazi yake ya UJASUSI(Recruit, Regain and DECEIVE). Kwanza MOMBO hajawahi kuwa na urafiki na Emma. Ila walifanya kazi pamoja Brazil vizuri sana. Mombo hana rafiki, huwa ana Maslahi yake ya Kijasusi. Namuhurumia sana Emma.
Ahaa!! Kumbe kilinukishwa uchaguzi haukufanyika,Sasa mlimtoa wapi huyo raisi 98%?Hivi mmerukwa na akili? Kwani aliyewapiga watu risasi ni nani Tundu Lissu alikuwa Jela Nyie mmewauwa watu mnamsingizia @TunduALissu ? Shame on you DAMU ZITAWAITA MTAWEWESEKA