@AbsalutC@ayubu_madenge Nchi gani ya Ulaya ambayo haina ubaguzi kwa Watu weusi ? Samuel Etoo, Vinicius wa Madrid wanarushiwa ndizi mbivu uwanjani kila siku, kwani anacheza ligi ya Argentina ? Ukileta historia za Ukoroni huwezi kuangalia Mpira wa Ulaya. Hakuna nchi hata moja Ulaya ambako hakuna Ubaguzi
@MseccoJ@ayubu_madenge Tumshabikie nani sasa? Uigereza, Ujeruman, Ufaransa, Ureno walio tutawala kwa Mabavu na kuuwa Babu zetu? Ukileta historia za enzi za Ukoroni hutoweza kuangalia wa ulaya. Utaangalia akina Senegal na Ghana tu. Shabikia mpira mzuri tu maisha yaendelee ndugu
@cleansheet_1@ndoro_j@ayubu_madenge Acha takataka hizi ndugu, Argentina hakuna watu weusi ? Mwaka jana (2025) pekee Argentina imetoa nafasi 280 Ufadhili wa Masomo(Scholarships) kwa wanafunzi toka Africa(kwa ngazi ya Degee na Masters), Na wanafanya hivo kila mwaka. Kwa hizo hasira zako za ukoroni usinge angalia EPL
@cleansheet_1@NasraHeri@ayubu_madenge Nchi gani Ulaya ambayo haina Ubaguzi kwa watu weusi ? Vinicius anacheza ligi ya Argentina ? Si anabagulia kila siku tena mechi za UEFA? Akina Samuel Etoo si walikuwa wanarushiwa Ndizi uwanjani? Mbona hawakuacha kucheza. Ukileta historia za ukoroni kwenye mpira kaangalie AFCON tu
@erasto_fid93397@EsirEid Nilitaka kujua kama uliona namna hilo goli lilivopatika. Kwa taarifa tu, Ufaransa walipewa hiyo Penati moja ndio wakaweza kufuza hatua ya Robo fainali.
@NiwasiimaA42736@BirungiMargret5 "You are talking", not "we" because everyone else know If a goat can not be in a position to score, then he assists his team mate to score. Thats why Messi is an all time assist giver/goal creator in World cup records.
@Elsukay0 Al Ahly wanakuwa na machaguo zaidi ya moja(utakuta wana watu 3), kuwataka wote hao haimaanishi kwamba watawachukua. Kwahiyo Yanga au tim nyingine kumchukua mmojawapo kati ya wale sio kwamba umewashinda Al ahly. Mchezaji ambaye ni Tageti yao ya kwanza huwezi kuwafikia hata nusu
@RUKARA_12 You should learn to respect Refaree's decission. If any incident had a huge impact on the play, there is VAR to review and assist the Refaree. Dont be a forever victim.