Strengthening Plant Health Services for Enhanced Food Safety Project is made possible via partnership & funding from @EuinTz, @FaoTanzania & @WizaraKilimo
Today’s 2nd Steering Committee Meeting of the #STREPHIT🇹🇿🇪🇺 project was held in Dodoma showcasing progress & future plans, including project extension. All this aims at Strengthening Plant Health Services in Tanzania for Enhanced Food Safety and Global Market Access. @EUinTZ
TPHPA yafika Kisarawe, Mkoani Pwani, kudhibiti baa la panya baada ya taarifa kutoka kwa Mkuu wa Wilaya, Mhe. Petro Magoti. Wakulima walipatiwa elimu na sumu za kuua panya, zilizotolewa bure. Zoezi hili linalenga kuboresha uzalishaji wa mazao na kuondoa kero hii kwa wakulima.
Kikao cha 3 cha Kikundi Kazi cha Kiufundi (TWG) cha mradi wa #STREPHIT🇹🇿🇪🇺 kimefanyika leo📍Dodoma kujadili maendeleo yaliyofikiwa na mipango ya baadaye.
Chini ya utekelezaji wa @FAOTanzania na ufadhili wa @EUinTZ, TWG imeshauri na kuongoza utekelezaji wa mradi. @WizaraKilimo
The 3rd #STREPHIT🇹🇿🇪🇺 project meeting of the Technical Working Group (TWG) on progress made and future plans took place today in 📍Dodoma. Under the implementation of @FAOTanzania & funding by @EUinTZ, TWG members gathered to advise and guide project implementation. @WizaraKilimo
The 3rd #STREPHIT🇹🇿🇪🇺 project meeting of the Technical Working Group (TWG) on progress made and future plans took place today in 📍Dodoma. Under the implementation of @FAOTanzania & funding by @EUinTZ, TWG members gathered to advise and guide project implementation. @WizaraKilimo
🌾 Mamlaka (TPHPA) inaendelea kutoa elimu ya vitendo katika Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani, Bukoba. Tembelea banda letu kujifunza kuhusu matumizi salama ya viuatilifu, kudhibiti visumbufu, na umuhimu wa mbegu za asili. Karibuni! 🌱 #SikuYaChakulaDuniani#TPHPA
🌍 Karibuni wananchi wa Mkoa wa Kagera kutembelea banda la Mamlaka katika Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani, Bukoba! 🍽️ Tumeanza Tarehe 10 - 16 Oktoba 2024. Jifunze kuhusu umuhimu wa chakula, lishe bora, na mbinu za kilimo endelevu. Tujumuike! 🌱 #SikuYaChakulaDuniani#TPHPA
Jitihada za @WizaraKilimo, @TPHPA_Official@EUinTZ,na @FAOTanzania katika kuongeza upatikanaji wa mazao ya kilimo yaliyo bora na salama kwa ajili ya soko la ndani na kimataifa. #STREPHIT🇹🇿🇪🇺 Sikiliza mahojiano haya kwa urefu zaidi 👇 https://t.co/aqGkGEIOSI
Mfalme @Salym amezungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kuangazia namna wanavyowekeza kwenye miradi ya maendeleo ikiwemo sekta ya Afya.
Mahojiano haya yanapatikana katika YouTube ya CROWNMEDIA
#KasriLaKikeke#HapaNyumbani
“We are ensuring that the environment & institutional structure supports access to international markets for 🇹🇿 crops," Ms. Christine Grau @EUinTZ Ambassador during an interview with @Salym from @CrownMediaTZ.
#STREPHIT🇹🇿🇪🇺
@FAOTanzania
Learn more 👇 https://t.co/aqGkGEIOSI
Mfalme @Salym amezungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kuangazia namna wanavyowekeza kwenye miradi ya maendeleo ikiwemo sekta ya Afya.
Mahojiano haya yanapatikana katika YouTube ya CROWNMEDIA
#KasriLaKikeke#HapaNyumbani
#STREPHIT🇹🇿🇪🇺 project is dedicated to ensuring that Tanzania���s agricultural products comply with international standards particularly phytosanitary standards essential for export markets. Read more 👇 on joint efforts by @WizaraKilimo, @EUinTZ @FAOTanzania
https://t.co/JCGc6Hn3H7
🇹🇿 @WizaraKilimo, ikisaidiwa na 🇪🇺 EU na 🇺🇳@FAOTanzania kupitia mradi wa STREPHIT, imewasilisha nyaraka za upatikanaji wa masoko ya mazao 8 muhimu kwa masoko ya kimataifa 14, ikifungua fursa za dola bilioni 3.4. Hatua hii itaongeza mauzo ya parachichi, kakao, karafuu, na zaidi.
🇹🇿 @WizaraKilimo, supported by 🇪🇺 EU and FAO via #STREPHIT, has presented market access dossiers for 8 key crops to 14 international markets, unlocking $3.4B in opportunities. This will boost exports of avocado, cocoa, cloves, and more, improving livelihoods and the economy.
@FAO 🇹🇿has supported @WizaraKilimo in officially presenting the market access dossiers for 8 priority crops in 14 countries unlocking the new potential of $3.5 billion and marking a turning point for Tanzania's agriculture sector @EUinTZ#STREPHIT🇹🇿🇪🇺
Hafla ya uzinduzi ilifanyika tarehe 18 Septemba 2024 katika Ukumbi wa Morena Hoteli Jijini Dodoma, ikiwa na mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde.
Katika hatua muhimu kwa maendeleo ya kilimo nchini, Mamlaka kwa Msaada kutoka @FAOTanzania kwa kushirikiana na @EU, kupitia mradi wa STREPHIT, wamefanikiwa kuandaa nyaraka za ufikiaji wa masoko kwa mazao 8 kipaumbele katika nchi 14.
Tanzania imezindua mchakato wa kufungua masoko mapya ya mazao ya kipaumbele katika nchi 15 za bara Asia na Ulaya kupitia mradi wa kuimarisha huduma za mimea na miongoni mwa mazao hayo ni parachichi, ndizi, nanasi, maharage, soya, vanila na karafuu.
Mchakato huo unalenga kuongeza mauzo ya mazao nje ya nchi kwa zaidi ya dola za Marekani milioni tatu na laki nane (3,800,000).
#AzamTVUpdates
Wahariri | @moseskwindi na Sabina Ntobi
📢Taarifa ya Mradi:
Jana, tulifanikisha hafla ya makabidhiano ya Nyaraka za Ufikiwaji masoko ya mazao ya kilimo ikiwa ni matokeo ya ushirikiano na ufadhili wa @EUinTZ,
@FAOTanzania na @WizaraKilimo.
#STREPHIT@TPHPA_Official
Zaidi soma 👇👇👇
🔗 https://t.co/ETBK7xfrZA
📢Project update:
Yesterday, we successfully held the Market Access Dossier Handover Event, made possible through the partnership and funding from @EUinTZ, @FAOTanzania, and @WizaraKilimo.
#STREPHIT@TPHPA_Official
Read our Joint Press Release:
🔗 https://t.co/ETBK7xfrZA
📢Project update:
Yesterday, we successfully held the Market Access Dossier Handover Event, made possible through the partnership and funding from @EUinTZ, @FAOTanzania, and @WizaraKilimo.
#STREPHIT@TPHPA_Official
Read our Joint Press Release:
🔗 https://t.co/ETBK7xfrZA
Mubashara: Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa #STREPHIT ndg,Mdili Katemani akitoa maelezo kuhusu makabidhiano ya ripoti ya upatikanaji wa masoko lililofanyika mapema leo jijini Dodoma.
Live with #STREPHIT National Project Coordinator Mr. Mdili Katemani briefing about the market access dossier event held earlier today at Morena Hotel in Dodoma. @EUinTZ@WizaraKilimo@TPHPA_Official@FAOTanzania https://t.co/E3vIcl6mPI