Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.
Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema βNi kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.β
DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
#MillardAyoUPDATES
Kama sio kuongezewa nguvu na kupelekewa mashabiki saa hii hizi frame angekua Idrissa, Mbegu au Mbege-Land ila siasa na football haziendani kamwe.
Haya ndo matokeo yake.
β€οΈ Moments to remember.
Look at the joy on the faces of the Senegal U17 players as they meet CAF President Patrice Motsepe.
These are the moments that inspire young footballers to dream bigger and believe that anything is possible.
#AFCONU17#AfricanFootball#AFCONwithMicky