@ze_mandevu Asa ukizingua ukaleta vurugu, siku inayofuata unatafutiwa zengwe au bonge la skendo kwamba wewe unakula(ga) kwenye vijumba na ushahidi upo mamae,,, KIPONDO๐ ๐ ๐ ๐
Kama kuna utamaduni hatari uliokita mizizi Tanzania leo, basi ni uchawa. Ni janga kubwa kuliko saratani kwa ustawi wa taifa. Unaua ukweli, unahalalisha uongo, unazika uwajibikaji, na kuwafanya wanaosema kweli waonekane maadui. Hakuna taifa linaloweza kujengwa kwa sifa za kupangwa na kuabudiwa kwa viongozi. Taifa hujengwa na ukweli, uwajibikaji, na ujasiri wa kukosoa pale panapokuwa na makosa. Uchawa si uzalendo; ni adui wa maendeleo na kikwazo cha haki.
@Agnesskanje Maswali ni mengi Kuna mwenzio mmoja alishawahi kuniuliza "Jamani Messi kaumiaa kwani hawawezi kumtoa Messi wamuingize Ronaldo?" Afu Sasa hili swali uulizwe na pis kali PC ya kwenda, asa unakuta pisi mbovu haifanyi vzuri inakuuliza hivi.utahisi inajifanyish ni usumbuf tu inaleta.
Nimetuma mzigo toka Jumanne kwenda Mbeya na bus la Allyโs hawajawahi kuniumiza hivi
Mteja kazungushwa mno hatimae leo kapigiwa akaambiwa mzigo upo ofisini na akatumiwa picha ya mzigo
Kafika ofisini kakuta box tupu. Huku si kuumizana jamani? Na ni experience gani hii tena kwa mteja wangu mpya si kukoseshana hela huku!!!
Cha ajabu wanasema, na sisi tunashangaa mbona box halina kitu, maboss mjue mnaharibiwa kazi zenu huku ground.
@JinoUkucha Mwanachi 11.07.2036
"Watu 7 wa familia moja wapoteza maisha kwa kudondokewa na ukuta wa nyumba waliyokua wakiishi,Chanzo chadaiwa ni upepo mkali"
@INFLUENCERjr@Mwinshehe07 Kama hawajaowana kuna mmoja kati ya hao ataolewa au ataowa, madhara yake mtu atakuja kusaga meno baadae, ukipata mtu unaeendana nae owa/olewa, maisha mafupi sana