@mchizidamas Kwan post zako si unaandikia watu mkuu
Sikubaliana na mangungu kupigwa ila unaposema wanaompiga hawana kadi maana ake unahalalisha wenye card kumpiga mkuu
@MswatiKing_01 Mwamnyeto ana error nyingi zaidi, bacca ni bora zaidi kwenye 1 v 1 duels, Bacca yuko chap kukaba wide spaces na inamsaidia kufukia makosa, yuko vizuri zaidi kwny Aeriel duels kuliko mwanyeto , Bacca Anapiga miguu miwili hana angle bias, Bacca mwepesi kucover mashimo kuliko nondo
@salimosaid@AidanCharlie Aibu ya afrika imewekwa na uonevu wa wazi wa morocco yule coach ni victim wa uonevu, kutoa aibu ni kuvunja uonevu sio kuwaona wajinga wanaotumia nguvu kuupinga
@JMariotz Ushamba wa kuhusisha kosa na asili ya mtu, kosa kafanya diouf uafrica unaingia vipi ? ๐kwaio brahim kosa alilofanya inaonesha washumbuliaji wa kiarabu akili zao ndogo au ?