Hawa polisi watueleze wanaelewa daktari bingwa anayefanya upasuaji anahitaji mikono yake iwe PERFECT
In fact nchi zilizoendelea unaweza hata kukatia insuarance maalumu mikono yako ukiwa daktari wa upasuaji maana ukipoteza uwezo wa kutumia mikono umepoteza kazi!
Sasa mnampiga daktari ambaye Taifa imegharamia kumsomesha miaka mingi ili aje kuokoa maisha - we na lifomfo felia yako na mipombe unaamua kumpiga ili uonyeshe eti una mamlaka juu yake! Inferiority complex tu!
Nchi imeoza kabisa! 🚮
Mi nasema hawa polisi wagomewe na madaktari hadi waone umuhimu wa madaktari! Inatia hasira sana!
#TutaelewanaTu
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 250.
Anaendelea Wakili wa Serikali: Waheshimiwa Majaji tuliattempt kuitoa hiyo video lakini by technicalities haikupokelewa,
Kuna aina tatu za ushahidi, ushadi wa maneno wa maandishi na maneno na (nimesahau kidogo mtanikumbusha) in the absence of evidence video that doesn't means all evidence collapse.
���😂😂😂 Kwahiyo hapa Jamhuri inataka Mahakama iamini maneno tu, halafu Katuga ni mkavu hata aibu haoni, Mawakili wenzake wameinamisha vichwa vyao chini maana submission ya No case to answer aliyofanya Mhe.Lissu imewavuruga sana.
Haya tuendelee
Katuga anasema Ushahidi wa maneno ni sahihi kama unaaminika kutumiwa bila kutumia documentary evidence...haya si maneno yangu yapo Kwenye case ya Abas Kondo Gelbe Vs Jamhuri , CAT 472/2017, Tanzlii 12/08/2020
Kitu kizuri zaidi, kwenye case ya Goodluck Kiyando vs Jamhuri, No. 118/2013 inasema kuwa kila shahidi ana haki ya kuaminiwa, haisemi mpaka uwe na documentary evidence.
Pw1 alisema ni mtuhumiwa aliyechapisha kupitia Jambo Tv, pia Pw17 alisema kupitia sisi wewe ndiyo ulichapisha.
Waheshimiwa majaji kupitia hoja hizi mashahidi wanasema kupitia kitendo cha kuongea na vyombo vya habari, kitendo kilikusudia maneno yako (mtuhumiwa) yaufikie umma ili umma uchocheke.
Umma ni kina nani? Kifungu cha tano cha Kanuni ya Adhabu ya sheria iliyotumika kumshtaki mtuhumiwa
Tumezungumza Publication, Publication ...Publication ni kitu gani? Black Law dictionary inatafsiri nini maana ya kutangaza, taking into account that it was live streaming
Hivyo kupitia viini vyote vya Uhaini Jamhuri imevithibitisha hivyo tunaona mtuhumiwa anapaswa kupewa nafasi ya kujitetea kutokana na mazingira ya kesi yake.
Pw1 anasema Mtuhumiwa wakati anahojiwa alisema maelezo yake/ ushahidi wake atakuja kuutolea Mahakamani,
hivyo kwakuwa Jamhuri imethibitisha viini vya kosa tunaona ni haki ya mshtakiwa kujitetea kwa mujibu wa kifungu cha 312 (1) cha sheria ya makosa ya jinai.
Kwa upande wetu ni hayo tu waheshimiwa majaji tunaomba kuwasilisha.
Jaji Ndunguru anawasha kipaza sauti anasema, Hoja zilizotolewa ni nyingi na mashahidi ni wengi hivyo tunaomba tupate muda wa kupitia na kutolea uamuzi, kesi inahairishwa mpaka tarehe 21/08/2026
Saa tatu kamili asubuhi.
Imepigwa High Cooooourt
Majaji wanatoka pamoja,
Mawakili wa serikali wananyanyuka
Mhe Lissu anamalizia kupanga vitabu na sheria zake huku akisemezana na viongozi wenzake wa chama.
Naomba Repost yako.
@moodewji@SimbaSCTanzania Kila siku unatwambia una ndoto ya ubingwa wa Africa wakat unasajir wachezaji wa bei chee huo ubingwa wa africa utaupata kwa huruma? Acha upuuz na siasa bana! Kama huwezi toka waje wawekezaji wengine wenye pesa siyo wewe tu kuna wengin wakatoro bana usituchoshe na malalamiko yoko
🇹🇿 Meanwhile in Tanzania, Clatous Chama just put his name in the ring for the 2026 Puskas award.
The Zambian baller pulled off an absolute MADNESS in the Kariakoo Derby. 🇿🇲😮💨
Kwakifupi ni Kwamba TEC wanasema Huu Uchaguzi huu Haufai Kabisaa Sio tu Kushiriki Kupiga Kura bali hata Kuuongelea haufai Kuongelewa.
Nikiwa Muumini Wa Dini Katoliki na Ninae Wasikiliza VIONGOZI wangu Sitoshiriki Haramu hii ya Kutiki hiyo Oktoba 29. https://t.co/umS2WVRUQu
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limekanusha vikali taarifa inayosambaa ikidaiwa kuwa ni tamko la baraza hilo kuhusu amani kwa Taifa kuelekea siku ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025.
ABDUCTIONS — UNTIL WHEN?
Legal and Human Rights Centre (LHRC) is deeply concerned about the continued cases of abductions and disappearances in Tanzania. The recent disappearance of Mr. Humphrey Polepole and others raises serious questions about citizens’ safety and accountability of state institutions.
As a nation, we must stand together and say, no more abductions!
Abductions, until when?
Read LHRC’s full statement and ask yourself , what do you think about this?
#EndAbductions #HumanRights #LHRC #Tanzania
TAARIFA YA WALIOTEKWA/AMA KUPOTEZWA TANGU KUANZA KWA KAMPENI AGOSTI 28, 2025*
*1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja*
*Jina:* Abedinego Sanga
*Cheo:* Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa Njombe
*Umri:* Kati ya miaka 28-30.
*Mahali alipotekwa Kijiji cha Matembwe akiwa kwenye duka lake la kuuza dawa.
*Namna alivyotekwa:* Watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi (wakiwa wamevaa kiraia walifika dukani kwake saa Moja na nusu jioni na kushurutisha kuondoka naye . Alipiga kelele za kuomba msaada na Wananchi waliposogea kutaka kusaidia, watu hao walitishia kuwapiga Wananchi risasi. Gari iliyotumika kumchukua ni Land cruiser ambayo haikuwa na plate number
*Tarehe ya tukio:* 04.10.2025
*2. Kanda ya Kati waliotekwa ni Watano*
*Jina:* Issa Hamis (Kaudo)
*Umri:* Miaka 40
*Jina:* Paulo Veslas
*Umri:* Miaka 30
*Mahali:* Wote ni wakazi wa Jimbo la Ikungi Magharibi.
Walitekwa tarehe 03.10.2025 saa 12 jioni.
*Jina:* Issa Hamis
*Kazi:* Fundi wa kuchomea mageti (grill)
*Tukio:* Saa 12 jioni ya tarehe 03. 10 alipigiwa simu kuwa aende Halmashauri ya wilaya ya Ikungi. Mpaka sasa hajulikani alipo.
*Jina*: Evarest James Ramadhani
*Umri:* Miaka 28
*Mahali:* Ni Mwenyekiti wa Bavicha Jimbo la Ikungi Mashariki ila anaishi Singida mjini kwa shughuli ya kuendesha bajaji.
*Tukio:* Mnamo tarehe 03.10.2025 saa moja jioni alipigiwa simu akiwa nyumbani. Kwa maelezo ya mke wake anasema akivyopokea simu alienda nje kuongea. Hakurudi ndani hadi pakakucha. Asubuhi mke wake na katibu wa Jimbo la Singida mjini walienda polisi kutoa taarifa. Jeshi la polisi likasema halina taarifa yake.
*Jina:* Amos Pambala
*Umri:* Miaka 38, ni katibu mwenezi wa kata ya Mafisa jimbo la Morogoro.
Tarehe 04 .10. 2025 mchana alipigiwa simu akatoka nyumbani kuelekea mjini. Hakurudi na ilipofika asubuhi ya leo tarehe 05.10 ndugu walienda polisi na viongozi wa chama. Mpaka sasa hajulikani alipo.
*3. Kanda ya Serengeti waliotekwa ni Wawili*
*Jina:* Ibrahimu Muhidin Mfangavo
*Umri:* Miaka 25
*Mahali alipotekwa* Kata ya Bulyanhulu kijiji cha Kakola, Jimbo la Msalala Mkoa wa Shinyanga.
*Namna alivyotekwa:* Alifuatwa nyumbani kwa wazazi wake akachukuliwa.
*Tarehe:* 05/10/2025
*Jina:* Lobezi Kulilo Masanyiwa
*Umri:* Miaka 32
*Mahali alipotekwa:* Wilaya Busega,Mkoa wa Simiyu kata ya Nyamikoma.
*Namna alivyotekwa:* Alichukuliwa Ofisini kwake na watu wanne
*Siku Tarehe:* 01/10/2025
*4. Kanda ya Victoria waliotekwa ni watu Wawili*.
*Jina:* Madiba Sengerema
*Jina:* Maduka Kashije.
Wote ni wa familia moja, Kata ya Mhandu, jimbo la Nyamagana - Mwanza
Tukio lilitokea tarehe 20 September 2025
Wasiwasi ni mkubwa mno. Hizi ni baadhi ya TAARIFA kutoka Kanda zetu za KICHAMA.
#Tanzania: authorities must immediately disclose the fate and whereabouts of a former Tanzanian ambassador to Cuba, Humphrey Polepole They must also ensure his safety and bring those responsible accountable.
https://t.co/YnjdT30CCK