KAMA HUKUPATA NAFASI KUSOMA
"Anaandika Baba Askofu Bagonza
YUDA AMECHOKOZWA; ASICHOKOZEKE❗️❗️❗️
Yuda wa Biblia alimsaliti Bwana Yesu. Siamini kama mleta hoja anamaanisha msalitiwa katika hoja yake ni sawa na Bwana Yesu!?!? Ipo siku tusiyoijua, “Yesu” huyu aliyefumbwa katika hoja hii, atafananishwa na “Mtume” asiyelinganishwa. Hapatatosha. Mleta hoja hajachagua vizuri maneno yake na mifano yake. NIMEMSAMEHE BURE.
Sakata hili lina mapichapicha sita ya hatari.
1. Msemaji aliwahi kuchokonoana na Rais wake huko kwao mpaka akajiuzuru. Mama yetu akamchukua, akamteua. Ina maana Rais yule na Mama yetu hawako shwari? Je Mama ni Yuda wa Rais yule kwa kuwa alimchukua mleta hoja?
2. Mleta hoja ni Mzanzibari, anamnanga Yuda Mtanganyika. Hii ni kero au ufa katika muungano? Alikosekana Mtanganyika wa kumrudi Yuda Mtanganyika?
3. Mleta hoja anasali Ijumaa; anamnanga anayesali Jumapili kwa kutumia picha ya (Yuda) anayeomba huruma makanisani. Tuseme katumwa na msikiti?!
4. Maneno yake yameingia kwenye Hansard. Bunge halikukanusha. Je ni bunge zima linamwita Makamu kuwa ni Yuda?
5. Naibu Spika alipomwongoza ajikite kwenye hoja, wabunge walipiga makofi. Walifurahia Naibu Spika kuingilia au walimshangilia mtoa hoja. Je makofi hayo ni mashangilio ya tumbili wa Kijaluo anayeshangilia pori linaloungua bila kuwaza atalala wapi usiku?.
6. Hoja imetolewa siku Rais ameondoka nchini na kwa mujibu wa katiba, Makamu ndiye Mkuu wa nchi wa zamu. Mtoa hoja anamaanisha hamtambui Makamu kama Mkuu wa nchi wa zamu?
Kwa vyovyote, kuna dalili mbaya. Matiti ya binti wa Kijaluo yakiishaota, hayafichiki na hayarudi nyuma.
7. Wakristo wanaamini usaliti wa Yuda ulileta wakovu. Bila usaliti, Yesu asingekufa. Bila kifo, asingefufuka; na bila kufufuka, wokovu usingepatikana. Hakuna wokovu bila usaliti. Waliookoka wameisaliti dhambi ili wawe huru. Mleta hoja kakosea. Hakuna Yuda na hakuna Yesu katika hoja yake. Zilikuwa ni saa za jioni; Dodoma mapito ni mengi, hatujui alipitia wapi kuja bungeni.
8. Kisiasa, CCM bila tishio la upinzani wa nje, inayumba. Tulishauri mapema sana Lisu aachiwe ili aiunganishe CCM, tukapuuzwa. Angeachiwa mapema, CCM ingeungana na kusahau tofauti zake za ndani ili kukabiliana na upinzani. Hivi sasa wapo wana CCM wanamtamani Lisu ili awasaidie kuona thamani ya umoja wa chama chao. Hamjachelewa.
9. Mama alikuja na “R” nne. Moja ya “R” hizo ni REFORMS, yaani mabadiliko. Lisu akamuunga mkono Mama kwa kusema “Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi” (NO REFORM, NO ELECTION). Akakamatwa kwa uhaini wakati aliunga mkono falsafa ya 4R! Mbadilishie mashtaka mseme alikosea kumuunga mkono Mama!
10. Wenye madaraka punguzeni nguvu, ongezeni hekima. Ruto alitumia nguvu, sasa ana nguvu lakini urais (Presidency) ni dhaifu. Kambarage alitumia nguvu na hasira Januari 30, 1984, Mpaka anaondoka duniani, jambo hilo lilimtesa. Trump alimnanga Pence hadharani, akaangushwa na Biden kwenye uchaguzi. Rais na Makamu hawatenganishwi kirahisi. Si mnatuimbia maridhiano!? Ridhianeni, wapambe tukose kazi.
Kama Yuda alichokoza; aliyechokozwa asichokozeke. Kama Yuda amechokozwa; asichokozeke.
Wajaluo bhana! Eti, hata anayepotea ana anakokwenda."
Damu za watanganyika zilimwagika kila Kona.
Maganda ya Risasi yakatawala kila Kona kama vizibo vya bia na soda kwenye bar.
Hakika watesi walidhamiria kutumaliza 29/October/2025 hatutaisahau kamwe . 😭😭😭😭😭
Abdul,
Pengine mengi yanayosemwa mitandaoni na mitaani dhidi yako si ya kweli. Lakini ikiwa hata asilimia ndogo tu ya yanayosemwa yana ukweli ndani yake, nakusihi uyatafakari kwa makini na kuchukua hatua mapema.
Historia inatufundisha kuwa wale wanaoshangilia na kupiga makofi juu yetu leo wanaweza kuwa mashahidi wa kwanza kesho mambo yanapobadilika. Nguvu, umaarufu na ushawishi ni vitu vya muda, havidumu milele.
Kumbuka pia kwamba nafasi na mamlaka ya wazazi wetu si ya milele, na wewe bado una safari ndefu sana mbele yako kama kijana. Hekima kubwa ni kujenga heshima, uadilifu na jina jema mapema kabla ya mazingira kubadilika.
Mungu huchelewa wakati mwingine, lakini haki yake haipotei. Ikiwa kuna jambo lolote lisilo sahihi, kurekebisha njia mapema ni busara kuliko kusubiri wakati ambao marekebisho yatakuwa magumu zaidi.
Huu ni ukumbusho wa KIMUNGU, kwa nia njema. Sijui hata kwa nini nimeandika. Lakini kesho huwa inafika.
HIKI NDIO NINACHOKIONGEA KILA SIKU…… WATANZANIA TULIO WENGI HATUPIGANIII MASLAHI YA CHAMA CHOCHOTE TUNACHOPIGANIA NI HAKI NA MASLAHI YA NCHI.
LAKINI WAUWAJI @SuluhuSamia , wako busy kudeal na Chadema. Wanajitoa akili kuwa October 29 Watanzania tuliingia barabarani bila kuambiwa na chama chochote cha siasa wala mwanasiasa yoyote yule kutushawawishi….
Kwa sasa Watanzania tunaegemea upande wa Chadema only because they have earned our trust na sio sababu sisi ni Wana Chadema.
HIi movement ya kudai haki Tanzania, itashinda sababu haina chama, wala dini wala ukabila.
Warning ⚠️: Graphic thread — proceed at your own discretion.
These are some of the unarmed citizens who were brutally massacred by samia suluhu hassan during the October 2025 sham election. Her own commission, under Chande, admits to 518 deaths—but that number is a deliberate understatement, far below the reality.
The truth is devastating: thousands of families have mourned, and many are still searching for their loved ones. People have disappeared without a trace. @CNNAfrica (@LarryMadowo) has uncovered mass graves.
In an attempt to mislead the public, the Chande Commission has dismissed these images as AI-generated. Meanwhile, @BenDoBrown has done critical work verifying their authenticity.
This was not an accident. This was not chaos. This was a massacre—and it demands accountability.
@UN@UNHumanRights@HouseForeignGOP@SFRCdems@SenateForeign@StateDeputySpox@EUCouncil
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #Accountability
Asante Katoro ✌️
Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. @HecheJohn akisindikizwa na wananchi wa Katoro baada ya mkutano wa uzinduzi wa operesheni #KatibaMpya#FreeLissu.
Today marks 4yrs since I met you,3yrs since I introduced you to my family and friends. It's magical how you still give me butterflies 🦋. You are one of my best decisions ever 🥰 cheers to more years of loving and spoiling me 😋 Happy Anniversary to us Papi❤
NINKUKUNDA MUNONGA
Magufuli alitumia mabavu kutawala.Watendaji wake waliua watu na wengine kuwafunga Kwa hila.Ukatili wote ule Wala haukumfikisha mbali zaidi ya kumfungulia milango ya akhera.
Mhe Rais @SuluhuSamia,
Chunga mienendo ya watendaji wako kama mambo haya hayana Baraka zako.
Yanakuharibia